NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,284
- 19,628
Sasa ukiona mtu analinganisha kisanii kidogo kama Marioo kwa Bien alafu bado ananiona unreasonable kwa kutokubaliana naye unaweza sema Nini? Mtu anasema Bien amepata tuzo juu ya Marioo when Bien started getting even bigger awards when Marioo was still in High School.🤣 🤣 🤣 you've decided not to entertain foolishness anymore.
Hakika mpo katika death mode. 😀 😀 😀Sasa ukiona mtu analinganisha kisanii kidogo kama Marioo kwa Bien alafu bado ananiona unreasonable kwa kutokubaliana naye unaweza sema Nini? Mtu anasema Bien amepata tuzo juu ya Marioo when Bien started getting even bigger awards when Marioo was still in High School.
Bien has gotten
Grammy award - once
MTV awards twice
Channel O award twice and nominated thrice.
All Africa awards - twice and nominated once
BET awards - nominated
MTV Europe awards - once and nominated once
Hipipo awards - nominated
Nigeria awards - nominated
Kisima awards - once
Alafu unasema ameimba na Marioo ndio apate award - Marioo mwenyewe hii ndio first international award yake. Wimbo wenyewe Bien kamfunika vibaya (both in studio and performance) Hadi Watanzania wenzake wanasema hivo.
Wanasema Marioo anatrend Kenya wakati ni huo huo wimbo wake na Bien unaofanya atrend - Sasa nani kamsaidia mwengine?
Hata Marioo mwenyewe ukimuuliza atakuambia Bien ni Msanii mkubwa kumshinda tena kwa mbali sana.
Yani kubishana na Hawa jamaa ni shida ndio maana nimewaachia washinde.
Leading slums in africa ziko nchi gani pia?Ok, ebu tuambie the leading hotel in Africa is from where? Unapinga kila kitu wakati hakuna kitu huwa unajua.
Mnatumi Branding za kishamba sana 😀 😀 you cannot brand you are artists kwa kuwatukana wasanii wengine. Brand you are artist in positive way. Na jamii itampokea kama ni mzuri. Msanii hajatoa hata Albamu hata moja mna mpatia sifa za Kijinga.Sasa ukiona mtu analinganisha kisanii kidogo kama Marioo kwa Bien alafu bado ananiona unreasonable kwa kutokubaliana naye unaweza sema Nini? Mtu anasema Bien amepata tuzo juu ya Marioo when Bien started getting even bigger awards when Marioo was still in High School.
Bien has gotten
Grammy award - once
MTV awards twice
Channel O award twice and nominated thrice.
All Africa awards - twice and nominated once
BET awards - nominated
MTV Europe awards - once and nominated once
Hipipo awards - nominated
Nigeria awards - nominated
Kisima awards - once
Alafu unasema ameimba na Marioo ndio apate award - Marioo mwenyewe hii ndio first international award yake. Wimbo wenyewe Bien kamfunika vibaya (both in studio and performance) Hadi Watanzania wenzake wanasema hivo.
Wanasema Marioo anatrend Kenya wakati ni huo huo wimbo wake na Bien unaofanya atrend - Sasa nani kamsaidia mwengine?
Hata Marioo mwenyewe ukimuuliza atakuambia Bien ni Msanii mkubwa kumshinda tena kwa mbali sana.
Yani kubishana na Hawa jamaa ni shida ndio maana nimewaachia washinde.
lini au ni ndoto za alinacha 😂😂😂Zitapungua
how comes unaweka malengo wakat bei iko pale pale mm hua nastaajabu sana kwa kweli 😂😂😂😂Tena nyingi sanaa ilipaswa iwe japo 10k+
Mama ndio champion wa mission wewe subiria vizuri.lini au ni ndoto za alinacha 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mama ndio champion wa mission wewe subiria vizuri.
Harafu soma link umeambiwa Bajeti ijayo bei zitapungua
Mama Zenyu!😂😂😂😂😂 nacheka lakini na kwetu yametaradadi kisawasawa
View: https://x.com/morarakebasosnr/status/1895167853692653734?s=46
Na wanalima Maua😂Maua ya plastic sio?
tusiwacheke na kwetu yapo tena sana tu
Umekuaje siku hizi?tusiwacheke na kwetu yapo tena sana tu
Nawangoja lazma povu pata picha kule lake zone kuna Bukoba airport, Geita (Chato) airport, Kahama airport, Mwanza airport, Musoma airport na Sasa huu Serengeti international airport! Kumbuka 3 of those ni international standards facilities!Vp jirani hajaandamana kupinga kuwa tunauwa hifadhi
Haki ya mama wewe ni kichaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa ukiona mtu analinganisha kisanii kidogo kama Marioo kwa Bien alafu bado ananiona unreasonable kwa kutokubaliana naye unaweza sema Nini? Mtu anasema Bien amepata tuzo juu ya Marioo when Bien started getting even bigger awards when Marioo was still in High School.