Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kama kunakuanga na conpulsory subject ya matusi huko
Ukiona matusi zimeanza kurushwa juu chini ujue dawa imeingIa penyewe 😂😂😂
Conpulsory ndiyo nn? Alafu unaongelea kuhusu matusi, kuna nchi duniani inazidi Kenya kwa raia wenye matusi? Kenya mpaka watoto wanatukana matusi mazito, matusi Kenya ndiyo maisha yao mpaka bungeni na serikalini ni mwendo wa matusi tu, no wonder shida na laana haziishi huko.
 
Wewe si next utaitisha picha ya yanga wakicheza na simba huko nyayo usiku, na ukiletewa utaenda kitu ingine tena
Sikia akili yako sio vyombo vya wageni usiogope kuitumia.

You can trace the argument kijana. Wamesema Nyayo haikua na any match Since 2021. Meaning uwanja ulikua mbovu while mpo busy kuutetea that time, so between 2022,2023,2024 onyeshni night game ikiwa NairobiWalker alisema they did replace it.

Sio kuleta ufala wa 2012 kuargue kulikua na taa 2022

Soma hiyo.link na mwaka.

I repeat akili yako sio vyombo vya wageni usiogope kuitumia
 
I told him Fumba is just a normal thing in Kenya many times over …nothing unusual to us…but he’s too stuck in inferiority complex…😁
You have to understand him, ndio hizo trend zinaingia Tanzania saa hii so anadhani they are the first. Hajui Kenya almost every county has such projects. In Kisumu there is 2, one already ongoing called Rocky Ridge and now the recently launched LV Marina.
 
Nimekuonyesha 5 different estates in Vipingo lakini wewe bado umekazana na moja, that should tell you that Fumba can’t compete Vipingo. Ebu tuonyeshe other estates tofauti na hii.
 
Ujui kitu nyamaza tu.
Kuweka yale maturubai miaka na mikaka 😁😂😁🔥
Just get readyto see Kasarani becoming tye third most beautiful stafium in East Africa after Talanta and Amahoro.

Does any of your stadiums have their names written on the seats? Ama nyinyi mmezoea colors za kitenge hadi mnashindwa penye mnaezaandikia jina ya stadium?

Kasarani.

 
Nimekuonyesha 5 different estates in Vipingo lakini wewe bado umekazana na moja, that should tell you that Fumba can’t compete Vipingo. Ebu tuonyeshe other estates tofauti na hii.
There are two bigger estates in Fumba, (that’s Fumba uptown living and Fumba town) Them all bigger than all estates at vipingo. Unakaza fuvu .? This was a fumba uptown living and this is Fumba town 👇🏾from this picture you can get to see Fumba uptown living in far end .. and this is it’s original design.. when completed it’s gonna look like this 👇🏾.. unaulizia shopping areas..?well here is pavalion supermarket in Fumba project there’s even tall structures that are been built. This one is from fumba uptown 👇🏾and this is the proposed tallest building in fumba. it’s by the way U/C. 👇🏾and this one bigger hotel in fumba. Ongoing construction 👇🏾sahii wamefika hapa 👇🏾.. kimsingi fumba Ndio taswira mpya ya jiji la Znz. Hii ni new exhibition center in Fumba 👇🏾hii hapa ni Znz passenger ferry terminal, inajengwa hapa fumba 👇🏾
View: https://youtu.be/fh06sJWL5pI. It’s also under construction. 🤣🤣🤣 sasa nakushangaa unaleta utoto kwenye hii new city in the making. Una vipigo gated communities. 🤣🤣🤣
 
Marathon gani hii ya kifala ati men anakuwa number one with 2:20!!!
Women with 2:45 Hadi 3hrs!!!!
Ujinga
Tafteni ideas from Nairobi city Marathon, Absa ama pia Addis Ababa Marathon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…