Sasa unapigia hesabu mafuta na sisi tukipigia reserve ya mafuta plus haya tutakayopewa BURE na M7[emoji23][emoji23]ati helium tz reserves are worth 3.5 billion dollars...mimi nilidhani hata ni zaidi...kumbe ni pesa kidogo tu.....Oil reserves Kenya are worth more than 60 Billion dollars...hawa watu joo
Turkana oil to earn Kenya Sh6.4 trillion in 23 years
Unajisahaulisha Eeeh[emoji23]karanga zipi? hizo hamna mtu anaytumia bro...vitu vya ujinga waknya hawapendi
mafuta yepi?Sasa unapigia hesabu mafuta na sisi tukipigia reserve ya mafuta plus haya tutakayopewa BURE na M7[emoji23][emoji23]
Mnakosaga cha kuongea basi mkishindwa[emoji23][emoji23] what about Congo? Nayo pia ni smallmizigo ya rwanda na burundi hata Mombasa tu inazizidi...hakuna pesa hapo...pesa zipo Uganda na South Sudan...our SGR is heading in that dirction bro...You can have rwanda and Burundi...small countries
Utakuwa umepagawa wewe, 800M barrels hakuna investor yeyote anayetaka kuja kuwekeza katika mafuta kidogo kiasi hicho, ona jinsi wanavyogombania 6B barrels za Uganda, kama Kenya itapata hiyo pesa unayosema, Uganda itapata kiasi gani?, endelea kuota ndotoati helium tz reserves are worth 3.5 billion dollars...mimi nilidhani hata ni zaidi...kumbe ni pesa kidogo tu.....Oil reserves Kenya are worth more than 60 Billion dollars...hawa watu joo
Turkana oil to earn Kenya Sh6.4 trillion in 23 years
sijakataa kuwa zipo ila wanaotumia hata 100 hawafikiUnajisahaulisha Eeeh[emoji23]
welcome ndugu ujionee maendeleo yaliyofanywa kwa muda mfupi sanaNatembea Tz very soon specifically Dar es salaam with my Nikon D3300 Camera na nitakuwa hapa JF kila siku posting the good and the bad. Kaka omba sana zile picha unapost hapa si za kuchagua coz will be there for 17days...π
SGR yenu imefika Congo?Mnakosaga cha kuongea basi mkishindwa[emoji23][emoji23] what about Congo? Nayo pia ni small
South Sudan zaidi ya silaha wanamizigo gani?, mafuta yao wamekataa yapitie Kenya, na hapo ndipo kwenye pesamizigo ya rwanda na burundi hata Mombasa tu inazizidi...hakuna pesa hapo...pesa zipo Uganda na South Sudan...our SGR is heading in that dirction bro...You can have rwanda and Burundi...small countries
maendeleo yepi?welcome ndugu ujionee maendeleo yaliyofanywa kwa muda mfupi sana
Unaota. Kwikwikwikwi. Ndoto tamu sana hito.SGR yenu imefika Congo?kwanza hata hela za kujenga reli ya kisasa Congo haina....na kama itapata basi tarajia miaka kama 30 hivi kabla reli ifike Congo....kisha nikukumbushe, rli ya Kenya inaenda pia Congo Rwanda na Burundi...we will have to share
How much tourism revenue mwaka huu?, achana na mapicha ya kukupa matumaini ya kijinga, unaposema utalii upo vizuri tunataka kuona pesa, mwaka huu Tanzania imepata mara nne zaidi ya KenyaTourism in 2017 has been good despite the elections calendar and opposition instigated rerun violence. A cruise ship every 2 weeks even before the Cruise Terminal is completed. Thanks to CS Balala, KTB and stakeholders.
Arriving now at MombasaPort with over 476 tourists and 370 crew @tunajibu @MagicalKenya @TRA_ke [HASHTAG]#HappyHolidays[/HASHTAG] My Gov on Twitter
Kuna time ndege flani iiland Kenya na trucks za UN za huko DRC na ati Hii ndege hakuna place ingine ingeland in East and Central Africa ispokua JKIA...unakumbuka kitu na hiyo?MMMMMMMMMMMMMMMMMMMAGICAL KENYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Kenya - Concorde and other big beasts, by Simon Watts (1986-90)
Najua ni wivu tu lakini utakaa sawa[emoji23] trillion 7 sio ndg.. Na hayo ni makadirio ya chini wakishamalza final research ndio tutapata majib kamili.. Tumeamua kutumia Rasilimali to the maximummafuta yepi?wachanga jokes sometimes....ati 3.5 billion...hio ni pocket change bana
tanzani has natural gas with capacity discovered 57 trillion cf my friend unaambiwa bado ipo ambayo haijagundulika hehehe inaweza kutumika zaidi ya miaka 300 πππππati helium tz reserves are worth 3.5 billion dollars...mimi nilidhani hata ni zaidi...kumbe ni pesa kidogo tu.....Oil reserves Kenya are worth more than 60 Billion dollars...hawa watu joo
Turkana oil to earn Kenya Sh6.4 trillion in 23 years
ndoto ni ile reli imeanza ujenzi ikafika Nairobi tayari ama ni ile bado watu wanatafta routes kule msituniUnaota. Kwikwikwikwi. Ndoto tamu sana hito.
tanzani has natural gas with capacity discovered 57 trillion cf my friend unaambiwa bado ipo ambayo haijagundulika hehehe inaweza kutumika zaidi ya miaka 300 πππππ
mbona huzungumzii pipeline kutoka uganda iliwauma vibaya mno ππππ na congo wataonganisha mafuta yao through same pipelineπππmizigo ya rwanda na burundi hata Mombasa tu inazizidi...hakuna pesa hapo...pesa zipo Uganda na South Sudan...our SGR is heading in that dirction bro...You can have rwanda and Burundi...small countries
But mbona wanazidi kuongeza maeneo na sasa zinapatikana kila county ya Kenya.. Kama kuongezeka kwa consumption ni Nini?[emoji23][emoji23][emoji23]sijakataa kuwa zipo ila wanaotumia hata 100 hawafikiungejua jinsi watu hapa wanazidharau sana hizo karanga hata hungezitaja tena ndugu...