Hizo kesi ni nyingi sana na ukiishi nao mapadre unaona mambo mengi sana na ndio maana ni ngumu sana kwenye darasa la watu 18 or kumi hata watano kuwa mapadre.
Kuna tofauti kati ya mapadre wa katoliki, kuna: mapadre wa jimbo na mapadre wa shirika.
Tofauti ni kuwa, Mapadre wa jimbo wanaruhusiwa kumiliki mali or kulipwa mishahara na mapadre wa shirika hawamiliki mali na hawapokei mishahara. So, wanaishi completely maisha tofauti.
All in all, ni kuwa, Mungu hakuleta dini, dini ni man made issues na sheria zote za kiupadre ni man made, ni scam.