Wewe ni jaluo au ni mpokoti anayejifia na njaa?Wewe ni mnyamwezi ama upo kundo moja na walafi wasukuma? Naona hiyo post umekukera sana
Alafu wakija siku moja waanze kupata remittances kutishinda utawaona humu hawaambiliki. Watajigamba day in day out. Hawa majaa ni kicheko. 😂Hawa wachawi huwa wanaumizwa sana na mambo ya remittance😂😂
Sio hiyo tu, ni wao kujiona wa maana kila mahali kumbe ovyo, jiulize kama ilivyosema Unaweza elewa foreign policy yao?Someone's head got chopped off!
View: https://x.com/daddyhope/status/1890784010214719779
View: https://x.com/MeruFmOfficial/status/1890784000794341641
View: https://x.com/sntvnews1/status/1890786459835080862
View: https://x.com/amerix/status/1890784343213191580
View: https://x.com/joseph_kalimbwe/status/1890787960787816924
MY TAKE
Kenya attitude towards eastern Congo conflict has costed them the seat!
NairobiWalker Teargass n mwathadan
Wanakuja na excuse hata Wakenya walimkataa.
Sio hiyo tu, ni wao kujiona wa maana kila mahali kumbe ovyo, jiulize kama ilivyosema Unaweza elewa foreign policy yao?
Ipo ipo kutimiza matakwa.
Njoo Foreign Policy ya Tanzania inaeleweka toka kitambo na imejengwa na misingi ya kueleweka ambayo imegusa nchi nyingi hapa Africa na Duniani kwa ujumla hasa Global South sana, ndio maana kwa ulingo wa Diplomacy tuko vizuri.
Sisi kama wakenya our Djibouti candidate ameshinda. Nyinyi ebu tuambie your SADC candidate ameendelea aje?Someone's head got chopped off!
View: https://x.com/daddyhope/status/1890784010214719779
View: https://x.com/MeruFmOfficial/status/1890784000794341641
View: https://x.com/sntvnews1/status/1890786459835080862
View: https://x.com/amerix/status/1890784343213191580
View: https://x.com/joseph_kalimbwe/status/1890787960787816924
MY TAKE
Kenya attitude towards eastern Congo conflict has costed them the seat!
NairobiWalker Teargass n mwathadan
Wabunge wote walienda kufanya nini na Raila? Uh
Our Djibouti candidate????Sisi kama wakenya our Djibouti candidate ameshinda. Nyinyi ebu tuambie your SADC candidate ameendelea aje?
Ndio Mzee,kwani export value ndio Mapato?
Mwambie Kura ilikuwa moja tu kwa kila nchi.Our Djibouti candidate????
Acha ujinga.
Nasikia baba yako kajitoa huko, sa'itakuweje?😎Hawa wachawi huwa wanaumizwa sana na mambo ya remittance😂😂
Inaitwa kupunguza maumivu. 😂😂😂Our Djibouti candidate????
Acha ujinga.
Ogopa watu wanaoongea sana. Mtu analipa wasanii wapige debe. Hadi wasanii chawa kutoka Kenya waje wapige debe. Hamna kitu hapo, atatembelea nyotq ya marehemu hadi 2030.Inashangaza, imagine utasikia wanapokea mkopo wa $100m huku Tourism iko na $3bn.
Mambo hayataki pupa, kama kwa mwaka unakusanya hela hizo zote, weka mradi utegee kipindi flani tuseme miaka miwili mradi wa $500m Barabara ya njia 4 ifike sehemu kuelekea Dodoma inafika tu.
Ila ajabu utasikia wanaomba (Tzs 150bn) sawa na USD 65m kama bond ya TARURA road network miaka mitano?
$65m?????????
Kwa mwezi unakusanya Sh 3 trillion ($1.5bn)
Alafu $65m za kuwapa TARURA unakosa hadi uchangishe???
Mbona hizo za kutoa wiki tu wakiamua.
Wewe una ubongo wa kuku haya mambo Yako Nje ya uwezo wakoNadhani wewe ni mbuzi wa albdili huwa huelewi kitu unauza Gold, unauza Horticulture, Utalii hayo siyo mapato nini nieleweshe kama sielewi