The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Kwanza hii kazi ya utumishi inapaswa kuwa ya mkataba na isizidi miaka 10 mtu anatoka anawaachia wengine.Ivi watumishi huwaga wanapewa target kweli?
Kingine unaweza kuta tunawaonea bure sababu unakuta mtumishi akijaribu kufanya kazi watu wanaletea siasa maeneo yao ya kazi wanaamua kuacha wasubiri maelekezo.
Siasa zipunguzwe kwenye utendaji, zaidi ya siasa zibaki kuomba matokeo.
Mfano mzuri, KITENGO CHA TANROAD cha hifadhi ya Barabara Watumishi tuseme Dar watafanya kazi gani maana wakiamua kila vijiwe vya Bodaboda, Machinga, bajaji watoke hifadhi ya Barabara utasikia siasa zinaingia waachwe waachwe licha ya Sheria kukataza.
Mzee sikumkubali kwa hili la Wamachinga
Nipo Tabora mjiniDuh nikaangalie Fursa za Ardhi kuwekeza huko, maana si kwa spidi inayokuja hapo.
Nani mwenyeji wa huko humu?
Ndio Raha ya Tanzania popote ni home kabisa na wenyeji hamna roho mbaya ya kunyima fursa.
You are an idiot, our top 2 foreign exchange sources areYaani sisi top 1 yetu 1 ndio rest of the Kunyaland top 5 ๐ ๐ ๐ sasa hiyo GDP yao ni ya nini?
View attachment 3236843
Ndio Mzee,kwani export value ndio Mapato?Mapato hayo yote bado watu wanakopa mabilioni kwa matrilioni
Ebu tuonyeshe projects za hiyo NHC ya Tanzania tulinganishe na ya Kenya.NHC ya kenya huwezi kamwe kulinganisha na Giant nhc ya Tanzania
prank unamchafua mtu namna hiyo?If that was the case, it could have reflected in a boom in construction projects in your capital. Tell us any meaningful real estate development projects going on in Dar and their value
Your age canโt allow you to understand what pranks are.prank unamchafua mtu namna hiyo?
Mambo mrembo ๐Your age canโt allow you to understand what pranks are.
Your age canโt allow you to understand what pranks are.
Viwanja bei ikoje? Na sehemu iliyo na Stesheni ya reli ni ipi SGR.Nipo Tabora mjini
Hiyo stadium seater ngapi? ๐๐๐Hii new stadium ya Uganda itaisha before Arusha mini stadium of 20k seater imalize kuchimba fou dation.
View: https://youtu.be/lYCT1uUEpaY?si=hlnjUFSYVzUqcU_Z
Wewe ni prank gani unaongelea? Did I mention prank anywhere? Hizi ni dalili za kuzeekaprank unamchafua mtu namna hiyo?
Miradi ya NHC ni mikubwa na mingi kuliko kampuni yoyote ya real estate in East and central Africa.Your NHC has only completed 4 projects so far๐๐๐
View attachment 3236964
Only one ongoing project, hizo zingine are all stalled.
View attachment 3236967
Miradi nne ndio unasema ni kubwa?Miradi ya NHC ni mikubwa na mingi kuliko kampuni yoyote ya real estate in East and central Africa.
We have better stadiums outside Nairobi than the stdiums you have outside Dar is slum.Hiyo stadium seater ngapi? ๐๐๐
Alafu Uganda Tz wanajenga different place cha ajabu Kenya inajenga One stadium Naipori.
Tanzania
Arusha
Zanzibar
Dodoma
Dar Es Salaam
Uganda
1. Kampala
2. Hoima.
3. Lira
Kenya
Naipori.