Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa sasa 32k unatosha kabisa kwa Dodoma, kumbuka hata Mkapa wenyewe kujaa ni shuhuri, ukizingatia maintenance ya uwanja basi 32k unatosha na ni mkubwa sn, huko mbeleni kukiwa na uhitaji tutauongeza. Tusijenge maviwanja alafu baadae yageuke kuwa ghost, mafunzo tumeshapata kutoka kwa wenzetu nchi mbalimbali za Africa, hata SA wenyewe wamefeli kutunza viwanja vyao.
 
In Tanzania i was surprised that everyone accepted my Kenya shilling notes.
Everyone where? Kama umeenda maeneo ya bank kwnn wasiikubali? Ukienda airport tu kuna baadhi ya bank hazi change Kenyan shilling ndiyo itakuwa mtaani, wacha kujichocha, huku hata uwe na US$ mtaani unaweza usipate huduma, ndiyo mtu akubali dafu la Kenya? Kwanza watu hawaijui.
 
Vi dustbin vinapendeza kiukweli, saivi posta imenyooka sana very clean, pavements zimenyooka kila kona ya mtaa+ greenery, miti imezunguka barabara, No city in EA can relate. saivi itabidi tuagize vumbi kutoka Naipori. 🤣🤣🤣.
Eti no city can relate? 😂😂😂 Are you not the same people who refer to Nairobi as "mapori" just because of its greenery? When it comes to green spaces na miti you know your glorified fishing village Dar can't match Nairobi. It's not a coincidence it's called the green city under the sun 🌞
 
You bafoon. Know the differences. Is there any street like this in EA.? 👇🏾sizungumzii miti tu ilimradi mapori. 🤣🤣🤣 hayo yapo everywhere. Ninachozungumzia ni hii plan yake kando ya barabara + pavements all the way. Halafu skia hii ni kwa mitaa yote kuanzia posta mpya hadi ikulu. 🤣🤣🤣.

Leta mtaa wowote in EA unaeza fika these levels, kama uko na balls.
 
Kujenga uwanja wenye capacity zaidi ya 35,000 nje ya Dar ni kupoteza rasilimali tu. Hata huo Mkapa unajaa baadhi ya mechi tu.
Nakubariana na ww
Dodom Ipi yakuwa na Uwanja wa 60k
Yaani uwepo Uwanja Wa Kutumika mara moja kwa Mwaka tena Simba na Yanga Waende !!
Huo Uwanja Wamepatia Na wapa Heko
Watu 60K sio mchezo kwa dodoma
Itakuwa Mechi inachezwa Uwanja Mweupe mpaka Raha ya uwanja inakosekana.
 
Hapa nimekuelewa kabisa
 
Kwa hiyo ni Nairobi vs Arusha now or?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…