Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

English nyingi wakati nchi wanasiasa wanatajirika nyie jamaa mnajikuta mnajua kupigania haki ila mnakula viboko vya wachina, mpo mnasafisha nyumba uarabuni kazi za slaves (Imagine mpigania haki anakua slaves)

Home hamna kitu mnaibiwa kila kukicha na wanasiasa alafu unakuja na English eti no one no one nyenyenye.

Shughulikia kwanza mnavyopigwa home.
 
hiyo $30 bln SGR umeipata wapi na wewe? Wacha propaganda hiyo $2.5 bln BRT Kenya imetoka wapi? Unaharibu mjadala kwa kuzusha!
 
Now niambie ni price gani nikarekebishe.
Reli yoote Dar mpaka Mwanza ni $10 bln!

Msalato airport pia sio hiyo gharama bali $272 mln

Kiufupi wacha kuropoka achana na kutaja gharama maana hata gharama za ndege ume-understate $197 mln kwa ndege 17! Aisee hivi Unajua dreamliner moja ni zaidi ya hiyo amount!? Unakera! Na nani kakuambia bus terminal zote gharama yake ni $100mln na si zaidi? Mji wa serikali $5 bln umeitoa wapi?

๐Ÿ™„
 
Mwingine kaona progress ya airports Tabora, kigoma na Iringa akaushia kusema white elephant projects kwa uchungu sana sasa sijui alikuwa anataka tubakie na bus terminals tuu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mpumbavu huyo na ndie alikua kimbelembele kuleta picha eti airport mbaya
 
Huo ni upuuzi unaongea na unajua. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mombasa kimsingi haina chochote cha maana kama jiji ukitoa bandari.
Sijui wanatoaga wapi upuuzi, Kwamba Arusha yenye makao makuu ya EAC na most diplomatic city in EA ikose facilities izidiwe na Mombasa kwani hao viongozi na wasaidizi wao wanaingia lodge?
 
Nenda Mombasa ujionee. Mombasa is now leaving Dar is slum behind in terms of 20floors buildings.
1. Rio Apartments - 22 floors as at now


2. Mumtaz Towers - 20 floors (still under construction)


3. SMB Towers - 20 floors (working on the 19th floor)


4. Aum Towers - 20 floors

5. Ocean View Residency 20 floors (18th floor on this 2018 picture)


6. Jaffery Complex - 20 floors

7. Sheheena Marina Apartments - 22 floors

There are a few others I have forgotten the names

Sasa yeye atuoneshe even a single building in Mwanza with 20 floors
 
hio 5 na 6 nikupe pole tu hakuna uwanja wa maana utajengwa hapo labda uwanja wa mazoezi tunza hii risiti ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ