Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

who will be more affected ? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
zaidi ya ajira laki tatu na nusu its not a joke mzee
Ndo maana nakuita ngombe. Hizi ajira laki tatu umetoa matakoni? Alafu mbna uwashwe na wakenya kupoteza ajira ilhali pia watanzania watapoteza hizo ajira?
 
Kenya's SWAT team in HaΓ―ti
View attachment 3227752
Huu ni u Joker pro max, kulinda mipaka yenu tu msivamiwe na wanamgambo mmeshindwa ndiyo mkalinde Amani ya nchi kutoka bara lisilowahusu, nikuulize tu, kuna uhusiano gn kati ya Kenya na Haiti? Ukweli ni kwamba mlichangamkia fursa ya biden ya kutafuta mbuzi wa kafara, na kwa bahati mby Trump keshaondoa hiyo, kilichobaki ni kuendeleza u Joker kwa kutuma tena vi askari viwili vitatu hili mfiche aibu msichekwe, but ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli na aibu iko pale pale hamuwezi ikwepa, lazima muwatafutie nauli majokers wenu mtake msitake 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwani wewe huwa unatoa taarifa za battle wapi nakumbuka ushawahi mleta hadi Zuwema wa Diamond kama staa wa kuthibitisha kauli zako.

Muda huo huo unadai humjui Vice president wetu ila unamjua Zuwema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Who's Zuwema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…