Ila kwa ground wote wanaelewa ni nchi gani wananchi wake wana ahueni ya maisha wala huhitaji IMF, social media tu inakurahishia kazi 😅😅
View: https://vm.tiktok.com/ZMkgUeydR/
View: https://vm.tiktok.com/ZMkgDT5X3/
Compare 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇Haiti must be free.
More police Officers to Haiti.
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1887403353858314564
Rushwa na hizo habari za Usimamizi ndio zinazuia watu kuweka umeme? Nachojua Mimi ni kwamba maombi huko Tanesco ni mengi kuliko uwezo wa kifedha wa Tanesco kumhurumia kila mmja.wanaweza sana kama kutakua hakuna rushwa na kuwepo na usimamizi madhubuti.
Watanzania wengi hawajui brands za magari.
Tweet ya Kunyaland wote akili hamna sababu mmeandika ninyiSo unapingana na tweet umeshare pekee yako? Kweli ujinga ni laana. Ama ulipost tu hiyo tweet bila kuisoma?
Compare economical inclusivity kati ya kiwanda cha assembling na kiwanda cha production usijinyofoe akili we nundaImpact gani? Can we compare the GDP ya Kiambu tulinganishe na ya Dodoma?
Tanzania is still an agrarian economy.
Kwani kasongo anasemaje kuhusu hilo? 😂😅😁🤣Wale Wachina wanaoexport their products ni kumaanisha hakuna local demand? Wewe jamaa ni fala sana. Just accept that your companies can’t produce quality products to convince their customers, that’s why Kenyan manufacturing companies are winning big in Tanzanian market.
Unajua kabisa sio just wedding hapo ni thamani ya zawadi, ni wapi Mkundustan katoa zawadi ya a whole filling station na multimillion mansion at a go?, zawadi ya lc 300 zero kilometer? Tena watu wa kawaida tu huko mitaani sio wanasiasa, Kunyaland hamna hii level of purchasingSo Tanzania is the only country with weddings? Wewe Nenda ukaangaliwe akili.
Harusi pia ni kitu ya kuringia mtu?😂😂😂
Unaweza kutoa mfano wa kampuni ya Kenya yenye market share kubwaWale Wachina wanaoexport their products ni kumaanisha hakuna local demand? Wewe jamaa ni fala sana. Just accept that your companies can’t produce quality products to convince their customers, that’s why Kenyan manufacturing companies are winning big in Tanzanian market.
Kiwanda cha assembly kina import karibia Kila kitu kutoka kwa manufacturer .Compare economical inclusivity kati ya kiwanda cha assembling na kiwanda cha production usijinyofoe akili we nunda
MPESA.Unaweza kutoa mfano wa kampuni ya Kenya yenye market share kubwa
Sasa Kama Client Mkunya kaleta Tata for modification Hanspaul ilaumiwe kwann? Tanzania standard ni Landcruisers n Landrovers!
Kunyaland ni spana tu na nguvu ya dona hakuna chochote wanachoweza kufanya kujiita producers wakati kiwanda cha mafuta ya alizeti ni whole value chain is localized mpaka end productKiwanda cha assembly kina import karibia Kila kitu kutoka kwa manufacturer .