Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,934
- 103,808
hata yeye kulikuwa na tatizo Avic Ring Road na Yapi Merkezi ugawaji wa lot 3 na 4 haukufuata taratibu!Ifike muda kuwe na contractor wa viwanja tu, wachina wanatuzoea, hata kama hammpendi Magufuli fata formula yake ya wakandarasi mbona kipindi chake Wachina walikua na adabu maana hujui utapewa au vipi, SGR yappi, JNHPP- Arab Contractors, Elsewedy Electric, Kimara kibaha - Estim Construction, etc wachina ilikua wafunge mikanda nadhani mchina pekee wa kueleweka ni CCECC, jitu kama SINOHYDRO ufala mwinyi.
So ifike muda hawa wachina wajue ni pata potea. Siku hizi kila mradi unasikia mchina.