Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona SADC wamekubali kukunja mkia na kualika East Africa Community to help them solve the DRC crisis. Shida ni tu Tanzania, Tanzania had already failed and should not be seen as an East Africa when the EAC come on board to assist in DRC.
We mbwa mimba yako na JWTZ lini unazaa?

EAC ya kazi gani? Wakati kwenye mgongoro nchi 3 zinahusika?

Kuna Uganda, Nyie kenge, Rwanda.

Uliona Twitter ya Mtoto wa Mseveni?

Nyie Kenge wanafiki si mlitimuliwa? Mtasaidia nini ikiwa Rwanda, Uganda ndio wachochezi wakubwa. Ongezea na linchi failed kama Kunya jeshi limeshindwa hata dili na vibaka wa Baringo.

Punguza kutema tema mate ovyo kwani kabla JWTZ hawajakupa mimba ulikua Mugumba?
 
Hizi hasira zote unaniletea unafaa kupelekea M23 that thoroughly canned your weak army.
 
hii unayotuonesha ni sehemu ya VIP ndio kuna viti nakuuliza huko kwengine watu watakalia zege, naomba unijibu bila hasira plz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…