game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,336
Hahaha, hamna kitu hapo dogo, najua hata humo ndani hajawahi kuingia,haha unless u prove ortherwise
JKIA IS in another leagueView attachment 655413
Safiri ujionee dunia ilivyo
Hahaha, hamna kitu hapo dogo, najua hata humo ndani hajawahi kuingia,haha unless u prove ortherwise
JKIA IS in another leagueView attachment 655413
Tanzania pia inabendera nzuri isiyo na complication kama yenuvitu zingine tumezoea jana Muzeveni leo kuna wengine...Uhuru anataka kumaliza 5 years yake na maendeleoView attachment 655414
Hahahaha,chris brown flew directly to mombasa...u dodnt need to be a rocket scientist to understand some staff
ukileta facts hapa ntakuheshimu..sio kuniambia zanzibar ina handle 10 million tonnesKawaida sana. Labda kwa sababu ya ushamba wako tu ndio maana unaona kitu cha ajabu hicho. Unaonekana kabisa huna exposure.
haha uchungu sana lia kabsaHahahaha,
Dogo wewe ni Boya, Mshamba kinoma.
Uhunyee anapenda sana selfie,
haha meza wembeUhunyee anapenda sana selfie,
Najua hata huyo m7 ni yeye kamuita tena kwa kulazimisha.
airport yenu yente direct flight ni mmoja nchi nzima na sio nyingine ni JKIA hakuna nyingine😀😀😀
ila tanzania ziko tatu zeneye direct flight 😛😛😛
umeshindwa ukaanza kutuletea omba omba kwa court of arms yenu....hawa omba omba ndio wanatusumbua kenyaTanzania Court of Arm - Ya kenya ni ya kitoto kabisa
![]()
Yaani mnaongozwa na wanyama:
![]()
Marais washamba washamba tu ndio wanaoshadidia twittermagu pombe haramu..only 343k followers....pole sanaView attachment 655420
Kwikwikwikwi. Akili zenu za kishamba sana. Nchi haina vision, mnajiendea endea tu.umeshindwa ukaanza kutuletea omba omba kwa court of arms yenu....hawa omba omba ndio wanatusumbua kenya
He is damn right,nenda darasani kasome....Acha kujiabisha na akili ya ujamaa hapa...
Yes Annael,to support your words...Mimi mbona ninamuda mrefu nimeshawadharau. Bora uwe nguruwe tanzania kuliko binadamu Nairobi - Kibera.
check obama