The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
2017-2021 ni miaka 6 kumbe!!!!!??Wewe elewa kwamba deadline ni 2030.
Kama mlishindwa kumaliza km 300 Kwa miaka 6 hapo unashangaa nini?
5 ,ndio ilikuwepo kwenye mkataba? Ilitakiwa izinduliwe 2019.2017-2021 ni miaka 6 kumbe!!!!!??
Sama boy 255 mdhamini huyu hapa.Si kweli
πππππππππ kazi imekua ngumu na mikopo imekopwa kisawasawa na kazi hazionekani alaf tunatumia nguvu kubwq kuaminisha watanzania kupitia wasanii wote kua anakubalikaWewe elewa kwamba deadline ni 2030.
Kama mlishindwa kumaliza km 300 Kwa miaka 6 hapo unashangaa nini?
chinnese ownes stadium hakuna pesa ya mkenya hata centi hapoππππThat Arusha mini Stadium nimeskia bado wanachimba foundation.
View: https://x.com/EricNjiiru/status/1882418436388909563
Hakubaliki Wala Bali anakubalika bibi yako.πππππππππ kazi imekua ngumu na mikopo imekopwa kisawasawa na kazi hazionekani alaf tunatumia nguvu kubwq kuaminisha watanzania kupitia wasanii wote kua anakubalika
Sasa mtu wa 40+ ni mzee? We mwenyewe hapo ulipo unakaribia 40 π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mzee wa miaka 40+ unasumbuliwa na gari ambalo kijana wa miaka 30 anaendesha?
ππππππππππππππππHakubaliki Wala Bali anakubalika bibi yako.
Mwisho kama kazi ni nyepesi Kwa nini mlishindwa kuzindua Sgr 2019? Kwani hamkukopa?
Ndio hivyo kateuliwa na imewakata.Unune ,ucheke pini ππππππππππππππππππππ
yani mtu anateuliwa tu bila wajumbe kupiga kura hii sijawah ona kwakweli waliogopa mambo ya kupiga kura wakijua ataangukia pua
kama anapendwa kweli wangepiga kura ukaona balaa πππππNdio hivyo kateuliwa na imewakata.Unune ,ucheke pini ππππ
Tafuta faraja nyingine sawa suku gang ππ
Si mlikuwanadanganywa na kujichekesha humu jukwaani na yule Jamaa yenu aliyewaokota ππ
Wapi treni mlizindua 2019? Unahamisha magoli πππππ
View: https://x.com/Jambotv_/status/1882499948018843840?t=_Hj4eExKJhwiLKZ5JdoN4Q&s=19
Render ya Kundurenda ilikuaje vile?
Uelewa wa makolo kwenye mpira mdogo sana,azam ndio mwenyeji wa hiyo game,Yanga anawezaje sasa kukataa uwanja wa timu mwenyeji!Utopolo banaβ¦!! ππ
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/groups/1615757968716806/permalink/3586807104945206/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Ndo mmegundua kufungwa hakuhusiani na uwanja mnaochezea!
ichoboy01
Kundudwellers bila make up mambo hayaendi
Nilikua sijui kama sports pesa ndio mdhamini wa ligi yetu,na hiyo citizen TZ anaijua nani πAu sioππ
Wakenya wengi ni vichaa...
Mtu hawezi fahamu kwamba kitu kimezima zaidi ya 20 times πππ