Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wapumbavu wanachukua picha ya juu kwa mbaaaaali sehemu kama ilala ambayo ni high density. Wanachukua picha ya mbali ili ionekane nyumba zimebanana hakuna barabara. Wapuuzi sana wakati Ilala na sehemu kama Magomeni kumepangwa tangu enzi za mkolono.
 
kwani hamnunui??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

pwani yote ya kenya azam katawala achilia mbali nairobi
Decoder za Azam Kenya mzima hata hazifiki 100. Mimi naweza watch vipindi vya Azam bila kununua hizo decoders zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…