Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna Mkenya Mmoja humo Kaumia Sana
Alivyo Juha Anasema Simba na Yanga Ni Level ndogo kwa Club za Kesha
Ajabu Hizo Club za Kenya Mashindanoni Zinaishiaga kwenye Uwanja wa Kisirani hapo hapo
 
Azam anapoteza pesa zake bure na hazitorudi, ligi dhaifu, fujo kama ndondo cup, corruption kila kona, viwanja vibovu na hakuna jitihada zozote. Azam anatoa pesa za kutosha lkn wachezaji wanalia njaa kila siku.
hapana hapotezi analenga zaidi premier league ya uingereza anataka ashike east central and southern part of africa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
U need to have 51% before u claim anythig! BTW that sponsorship was a season before both Young Africans and Simba r no more wearing jersey with Sportpesa logo!
Kenyans are the majority shareholders in Sportpesa wether you like it or not.
 
so umekiri kua sio kampuni ya kenya na hamuimiliki nyinyi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

na tukisema hapa sport pesa sio kampuni ya kenya hua munalilia nn sasa
Sportpesa is a Kenyan company with minority foreign shareholders and majority local shareholders.
 
Kenyans are the majority shareholders in Sportpesa wether you like it or not.
🀣 🀣 🀣 🀣 Kundudwellers bhana wanang'ang'ana na trivial issues. Ukiwaleta kwenye issues za maana kama
1. Food Security Hawamo
2. Best League hawamo
3. Lingi yenye pesa hawamo.

Tukiwaita ninyi ni mashetani tutakosea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…