Still Chinese buses zinakuja ambazo ndani ya muda mfupi zinaoza kama za BRT 1. Aliewahi kupanda BRT recently atanielewa.Mradi ni mkubwa ule, yote yatakuja.
Kumbuka phase ya kwanza ina uhitaji wa mabasi pia.
Still Chinese buses zinakuja ambazo ndani ya muda mfupi zinachoka na serikali yenu haiwezi kununua mengine mpaka hali iwe mbaya kama sasa hivi.Nafikiri kila route itakuwa na buses zake depending na operator.
Au sioππBigger companies kitu gani na Sponsor mkuu wa Ligi yenu Tanzania ni Sportpesa, Kampuni ya Mkenya ππ. Nyinyi Kampuni zenu zote zinamilikiwa na Waarabu, Azam ni ya Muarabu na Citizen TV ni ya Mkenya SK.Macharia.
Hamuwezi shindana na Wakenya Kwa biashara my friend. You own nothing.
View attachment 3210633
Sportpesa kwmpuni ya Kikenya? Hebu chokora mavi huko nyuma!Bigger companies kitu gani na Sponsor mkuu wa Ligi yenu Tanzania ni Sportpesa, Kampuni ya Mkenya ππ. Nyinyi Kampuni zenu zote zinamilikiwa na Waarabu, Azam ni ya Muarabu na Citizen TV ni ya Mkenya SK.Macharia.
Hamuwezi shindana na Wakenya Kwa biashara my friend. You own nothing.
View attachment 3210633
Kenyans has the most shareholding in Sportpesa at 48% followed by Bulgaria at 26%,USA at 21%, UK 5%.Sportpesa kwmpuni ya Kikenya? Hebu chokora mavi huko nyuma!
U need to have 51% before u claim anythig! BTW that sponsorship was a season before both Young Africans and Simba r no more wearing jersey with Sportpesa logo!Kenyans has the most shareholding in Sportpesa at 48% followed by Bulgaria at 26%,USA at 21%, UK 5%.
View attachment 3210710
kwasababu ni maskini mafukara πππHawa kwnn viwanja vyao vimekatwakatwa π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
nafkiri hujaelewa kilichoandikwa sio kurejea kwa kutumia uwanja wa azam ni kwasababu azam atakua mwenyej kwenye huo mchezo ππππ
hatutaki kuwaiga nyinyi ng'ombe ambae mtu mmoja anamiliki eneo kubwa la kuweka 20m kenyans ππππI thought mko na land kubwa sana tz
How comes mnauziwa maplot 30 by 60!!!!
Hiii ni upuzi kwa nchi kubwa Ivo.
Ilifaa kuwa 100 by 200.
njoo utusaidie majibu plz ChoiceVariableKwahio zile G7 Marcopolo ilikuwa uchawa au? Chinese buses experience ya BRT 1 haijawapa somo?
sponser wa league ni NBC na azam tvBigger companies kitu gani na Sponsor mkuu wa Ligi yenu Tanzania ni Sportpesa, Kampuni ya Mkenya ππ. Nyinyi Kampuni zenu zote zinamilikiwa na Waarabu, Azam ni ya Muarabu na Citizen TV ni ya Mkenya SK.Macharia.
Hamuwezi shindana na Wakenya Kwa biashara my friend. You own nothing.
View attachment 3210633
Kwani lazima ziwe Marcopolo G7?Kwahio zile G7 Marcopolo ilikuwa uchawa au? Chinese buses experience ya BRT 1 haijawapa somo?
jipu lingine linaiva hivi sasa ππππ
elewa point yake kwanza alaf jibu πππKwani lazima ziwe Marcopolo G7?
so umekiri kua sio kampuni ya kenya na hamuimiliki nyinyi πππππKenyans has the most shareholding in Sportpesa at 48% followed by Bulgaria at 26%,USA at 21%, UK 5%.
View attachment 3210710
aibu gani hiii munafanya wakenya siku zote mukiambiwa nchi yenu ni worse kwenye corruptions munaanza kurusha ngumi za hewani πππππππ
Hakuna point,jambo la msingi ilikuwa ziwe gas powered na ndivyo itakavyokuwa.Brand is not an issue.elewa point yake kwanza alaf jibu πππ