The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Sasa wewe kichaa kwani kasarani iko wapi? Si ipo Nairobi ambayo ndiyo makao makuu ya slums duniani, inakosaje kuwa na ma slums? Wewe unachukia sn ma slums sema ndiyo huna uwezo wa kuyaondoa unabaki kuumia tu, juzi nilikuambia parklands kuna ma slums ukabisha nikakuaibisha, leo tena unabisha wkt mwenzio kakausha 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣Leta tuone. Unadhani hii ni Dar yenu yenye uswazi kila corner?
Makenya yalivyo ******* ukiyaonesha majengo yanapagawa kweli kweli, yapo radhi yafe njaa lkn uyajengee cosmetic projects kama hizi, sisi elimu yetu ni bora na ndiyo mana tulianza na mambo ya msingi then tunamaliza na cosmetic projects, huwezi kusikia Tz imefeli kwa jambo lolote cz tuna msingi wa mawe sio mchanga kama Kenya na vinchi vingine jua kali vya Africa.Jamaa wanapiga kelele, Sisi we are winning. DODOMA View attachment 3204831View attachment 3204832View attachment 3204833View attachment 3204830
Aisee, Soweto bora ata kibera 👇👇🤣🤣🤣Huyo watchman anasema eti Kasarani kuna slum? Alete tuone. Anafikiri hii Nairobi ni kama Dar yao yenye uswazi kila corner?
Wacha desperation bongolala, Soweto iko maeneo ya Eastlands huko sides za Kayole. Kasarani is not even in Eastlands to begin with. Wacha kujiliwaza na picha za kuokotwa na kujifanya unajua Nairobi kuliko wenyeji wakati wewe upo TandaleSasa wewe kichaa kwani kasarani iko wapi? Si ipo Nairobi ambayo ndiyo makao makuu ya slums duniani, inakosaje kuwa na ma slums? Wewe unachukia sn ma slums sema ndiyo huna uwezo wa kuyaondoa unabaki kuumia tu, juzi nilikuambia parklands kuna ma slums ukabisha nikakuaibisha, leo tena unabisha wkt mwenzio kakausha 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3204936
Ebu tuonyeshe hio Soweto ya Kasarani kwa map? Unaokota tu articles online alafu unajiona mjanja. 🤣 🤣Sasa wewe kichaa kwani kasarani iko wapi? Si ipo Nairobi ambayo ndiyo makao makuu ya slums duniani, inakosaje kuwa na ma slums? Wewe unachukia sn ma slums sema ndiyo huna uwezo wa kuyaondoa unabaki kuumia tu, juzi nilikuambia parklands kuna ma slums ukabisha nikakuaibisha, leo tena unabisha wkt mwenzio kakausha 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3204936
Wana tabia za kujifanya Wakenya ndio waiponde Kenya so wanadhani pia sisi tuna hizo tabia zao. Kenyans do not fear to speak out, when a Kenyan speaks he never hides behind another nationality.
Leta Google earth image inayoonyesha Soweto inapatikana Kasarani. Soweto ninayojua ni hii hapa Eastlands na ni sehemu kadogo sana, nothing comparable to the sprawling uswazi hovels of DarAisee, Soweto bora ata kibera 👇👇🤣🤣🤣View attachment 3204940
Huyo watchman bado ako na usingizi achana naye. Eti Soweto iko Kasarani 😂😂😂😂Ebu tuonyeshe hio Soweto ya Kasarani kwa map? Unaokota tu articles online alafu unajiona mjanja. 🤣 🤣
Wanachonifurahisha kunyan ukiwakuta wanapiga domo kuhusu nchi yao,unaweza kusema wanaongelea nchi flan yenye hadhi sawa na luxembourg kumbe ni nchi yenyewe grp 1 na somalia na syria,kunyan hawana akili
Mimi nasema hii video imechukuliwa uhuru park,kataa sasa utuambie hapa ni wapii 😂Huyo watchman bado ako na usingizi achana naye. Eti Soweto iko Kasarani 😂😂😂😂
Kunyan ben mkapa lupaso inawaumiza sana rohoUwanja hauna parking 👇👇🤣🤣View attachment 3204964
Utasumbuka sana na bado...More of Kasarani 🤣🤣🤣View attachment 3204960View attachment 3204961
Hiyo ni Korogocho. Na hizi hapa ni wapi?Mimi nasema hii video imechukuliwa uhuru park,kataa sasa utuambie hapa ni wapii 😂