Imeandikwa hapo 2023. Ama ni lini Tanzania ilikuwa na GDP ya $78B?Document date ni 2024, je ina reffer taarifa za uchumi wa Tz za mwaka upi.?
Good luck trying to prove your point with data hapa sokoniNajua hampendi kukubali ukweli. Data imekuwa released on October 2024 alafu bado mnataka kupinga😅😅🤣😂👇👇
View attachment 3203016
si attach hapa kama ana huo ujasiri au kuhweka linkDocument date ni 2024, je ina reffer taarifa za uchumi wa Tz za mwaka upi.?
Hii taarifa yako enyew inakuumbua mzee. Kwasababu hii taarifa inaeleza wazi most recent datas za PPPs ni za mwaka 2017-2018. Na imeeleza pia most recent World development indicators (WDI) ni data za mwaka 2022 yaani hizo taarifa za umaskini wa 44%. Sasa je leo ni mwaka gani.?😂😂😂Sijakataa hiyo taarifa, I’m only trying to show you that even with our 39% poverty rate, Tanzania is still way ahead of Kenya with 45% according to World Bank.
View attachment 3203024
hiyo imeandaliwa kwa ajili ya kuforecast tu na amespecify data zilizotumika ni za miaka ya 2016 na 2017 kwa ppp na akatuumia wdi value za mwaka 2022 kufanya estimates na akatumia IPR ya mwaka 2018 ambayo ndo iko posted kwenye website ya WB mpaka leo labda utuambie kama posted IPR ya WB imebadilika lini?
Hili ni chapisho la mwaka 2023. Na limeeleza wazi refference zake ni data za 2017-2018 na zile za 2022 za WDI. wewe unacholazimisha nini mkuu.? 😂😂
Hii taarifa yako enyew inakuumbua mzee. Kwasababu hii taarifa inaeleza wazi most recent datas za PPPs ni za mwaka 2017-2018. Na imeeleza pia most recent World development indicators (WDI) ni data za mwaka 2022 yaani hizo taarifa za umaskini wa 44%. Sasa je leo ni mwaka gani.?😂😂😂
na huwez calculate poverty rate kwa linganisha data zenye difference ya almost 5 yearsHii taarifa yako enyew inakuumbua mzee. Kwasababu hii taarifa inaeleza wazi most recent datas za PPPs ni za mwaka 2017-2018. Na imeeleza pia most recent World development indicators (WDI) ni data za mwaka 2022 yaani hizo taarifa za umaskini wa 44%. Sasa je leo ni mwaka gani.?😂😂😂
Kwani tulikuwa tunaongelea PPP ama Poverty index? Mbona akili yako inazima kama ya mzee hivi?Hii taarifa yako enyew inakuumbua mzee. Kwasababu hii taarifa inaeleza wazi most recent datas za PPPs ni za mwaka 2017-2018. Na imeeleza pia most recent World development indicators (WDI) ni data za mwaka 2022 yaani hizo taarifa za umaskini wa 44%. Sasa je leo ni mwaka gani.?😂😂😂
How can you predict 2023 in 2024? Akili yenu inawasaidia kweli?hiyo imeandaliwa kwa ajili ya kuforecast tu na amespecify data zilizotumika ni za miaka ya 2016 na 2017 kwa ppp na akatuumia wdi value za mwaka 2022 kufanya estimates na akatumia IPR ya mwaka 2018 ambayo ndo iko posted kwenye website ya WB mpaka leo labda utuambie kama posted IPR ya WB imebadilika lini?
Zote zimeelezwa humo au huelewi hiyo WDI inamaana gani.? 😂😂 haya tusaidizane kutoa ujinga. 👇🏾Kwani tulikuwa tunaongelea PPP ama Poverty index? Mbona akili yako inazima kama ya mzee hivi?
Usisumbue mahakama mkuu.. pita huku 👇🏾😂😂How can you predict 2023 in 2024? Akili yenu inawasaidia kweli?
Zote zimeelezwa humo au huelewi hiyo WDI inamaana gani.? 😂😂 haya tusaidizane kutoa ujinga. 👇🏾View attachment 3203029hili chapisho limeeleza vitu vyote hivi 👇🏾View attachment 3203032source za hizo taarifa wakasema wamezitoa WDI ambao na wenyewe wanasema most recent data ni za miaka hii. 👇🏾View attachment 3203033wewe unaendelea kubishana bado.? 😂😂😂
Wakenya kusema kweli wamechanganyikiwa. Hawaamini wanachokiona. Lakini hakuna namna itabidi wazoee.Usisumbue mahakama mkuu.. pita huku 👇🏾😂😂
How can you predict 2023 in 2024? Akili yenu inawasaidia kweli?
kumbe hata data zilizotumika huzijui nyangauKwani tulikuwa tunaongelea PPP ama Poverty index? Mbona akili yako inazima kama ya mzee hivi?
Huyo anapenda kusumbua mahakama kwa kesi ya kuku. 😂😂😂Wakenya kusema kweli wamechanganyikiwa. Hawaamini wanachokiona. Lakini hakuna namna itabidi wazoee.
Na mwaka huu 2025 wataumia sana tu. 🤣 🤣 🤣 🤣
so kwahiyo data ziizotumika kuforecast ni za mwaka gani?How can you predict 2023 in 2024? Akili yenu inawasaidia kweli?
hawezi jua alete hata hiyo link kutoka world bank maana hakuna latest report iliyokuwa posted kwa mwaka 2024 kuhus tanzaniaZote zimeelezwa humo au huelewi hiyo WDI inamaana gani.? 😂😂 haya tusaidizane kutoa ujinga. 👇🏾View attachment 3203029hili chapisho limeeleza vitu vyote hivi 👇🏾View attachment 3203032source za hizo taarifa wakasema wamezitoa WDI ambao na wenyewe wanasema most recent data ni za miaka hii. 👇🏾View attachment 3203033wewe unaendelea kubishana bado.? 😂😂😂
nawakaribisha tandhimba msimu wa ufuta waje waone mbuzi akinywa biaWakenya kusema kweli wamechanganyikiwa. Hawaamini wanachokiona. Lakini hakuna namna itabidi wazoee.
Na mwaka huu 2025 wataumia sana tu. 🤣 🤣 🤣 🤣