Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utafukunyua news kutoka kwenye blogs zote zilizoandaliwa na wakenya 🀣🀣🀣🀣

Hii news imeandaliwa na KNBS


View: https://x.com/cobbo3/status/1879497053929443646
Sasa wewe bongolala nakupa taarifa kutoka WB hadi nakuwekea link ujisomee alafu unakuja hapa na povu?! So hao bloggers wa Kenya wanafanya WB?

Alafu Cha ajabu ni kwamba nyinyi ndio mnaleta taarifa imeandaliwa na mkenya kule Twitter na mnapiga kelele!!
 
Mpaka za 2005 unazo mpaka leo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
2013 tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mm nakuletea habari ya 2024 ww unaleta ya 2013 mzee umevurugwa sana
View attachment 3202872
Didn't you say Harambe Stars has NEVER played in Nyayo? Nimekushika makende Sasa unatafuta pa kutorokea. Wewe hauna mbavu za kupimana nami nguvu kwenye hili jukwaa. Saa zingine huwa naamua tu kunyamaza
 
hiii nik toka kwenu sio twiter
 

Attachments

Didn't you say Harambe Stars has NEVER played in Nyayo? Nimekushika makende Sasa unatafuta pa kutorokea. Wewe hauna mbavu za kupimana nami nguvu kwenye hili jukwaa. Saa zingine huwa naamua tu kunyamaza
mwehu kweli ww dunia inakwenda mbele nyie munawaza kurudi nyuma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

2024 malawi wana international stadium alaf supa pawa ya kwenye makaratasi haina wewe huoni aibu 😁😁😁😁😁

alaf unatuletea data za 2013 over 11 yrs ago huko
 
Sasa unabishana na KNBS waliosema mnafuga mafukara 40% population? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

For the first time wakundustan hawataki statistics zao wenyewe 🀣
 
That is not data bongolala. Do you even know what data is? Anyway, Wacha nikunyamazie. Arguing with a fool, especially one from Tanganyika, is not an easy job
 
That is not data bongolala. Do you even know what data is? Anyway, Wacha nikunyamazie. Arguing with a fool, especially one from Tanganyika, is not an easy job
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona munahasira sana siku hzi, mukubali madhaifu yenu dunia ishabadilika zile data za uongo, sifa za uongo achaneni nazo kaeni kwenye uhalisia wenu mbwa nyinyi
 
Sasa unabishana na KNBS waliosema mnafuga mafukara 40% population? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

For the first time wakundustan hawataki statistics zao wenyewe 🀣
Nani amebisha? Unadhani sisi ni kama nyinyi who excel in denial? No, we aren't. Yetu ni 39% wakati hamzungumzii yenu which is 44.9%. See how desperate you people are?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona munahasira sana siku hzi, mukubali madhaifu yenu dunia ishabadilika zile data za uongo, sifa za uongo achaneni nazo kaeni kwenye uhalisia wenu mbwa nyinyi
Mjinga mpe cheo afurahi
 
Nusu ya wakundustan wanaogelea kwenye uchochole wa ufukara according to kasongo yeye government πŸ˜‚πŸ€£

 
Nani amebisha? Unadhani sisi ni kama nyinyi who excel in denial? No, we aren't. Yetu ni 39% wakati hamzungumzii yenu which is 44.9%. See how desperate you people are?
hatujakataa ila data ulizoleta zinaonesha kabisa ni 2017 na hakuna sehemu tumekataa kuwa in 2017 hatukuwa na umaskini wa kiwango cha 44.4 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…