Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngoma jua kali hii, uwanja umeanza kujengwa mwaka jana mwishoni zen mwaka huu umeisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uoni supermarkets,nimekutoa akili hapo ila elimu ndogo huwezi kuelewa,TZ hatuna supermarket kama hiyo,tuletee bus terminal kama ya magufuli huko kwenu,kila nchi ina strategies yake,ni kawaida cha huku kutokuwepo kule
Hawa jamaa huwa wanachekesha sana.
 
Leo watapotea kidogo halafu watarufi kesho kwa kuchungulia 🤣🤣🤣🤣
Tupotee wapi wakati ukweli ndio hii hapa?!
 
News ya Miaka 6 iliyopita. Sisi tunaongelea news ya 2025 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇




Kenya’s poverty rate stands at 39.8%, says National Bureau of Statistics (KNBS). This is the East African Community poverty rate picture:
Somalia: 70%
(R Congo): 63%
Burundi: 56%
Kenya: 39.8%
Uganda: 37%
Tanzania: 26%
Rwanda: 25%
 
Hizo
Du mpaka unatia huruma,hizi Data umeleta za 2017 karibia decade , kumbuka huu ni mwaka 2025 Kuna difference ya miaka 8 hapo. Leta data za walau 2023. Unaogopa nini?
 
Sio ya 2020 hizo data ni za mwaka 2017 ili taarifa ni ya mwaka 2020
 
Jamaa anachanganyikiwa 🤣 🤣 🤣 Harudi tena
Yaan tukienda kwa kukinganisha na population yao ya 55,100,000 kwa poverty rate wana watu kiasi cha 21,489,000
Huku tanzania ikiwa na maskini kiasi cha 17,825,600 yaan idadi ya maskini ambayo wakenya wametuzidi inatosha kabisa kujanza jiji kabisa na kukawa na foleni kabisa . Kumbuka population ya Nairobi iko kwenye 4.5mil na maskin wa kikenya waliotuzidi ni 3.66mil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…