Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe sio mkenya, asante kwa kukubali 🤣🤣🤣🤣
The whole world knows he's not Kenyan Sasa sijui shida yako ni nini. The whole world also knows he has Kenyan roots, something that you don't want to admit. Even his second name is 100% Kenyan
 
Haya maneno yangekuwa yanatoka rohoni mwako wala Avatar yako haingekuwa na picha ya mtu mwenye jina la kikenya 🤣🤣
 
Informal settlements and slums are used interchangeably kijana wa Tandale
Usitake kufananisha wewe nyang’au.
What is the difference between slums and informal settlements?
Would you please first clarify the terminology? Enrique Silva: Slums are urban areas characterized by poverty and substandard living conditions, and informal settlements are areas developed outside of planning regulations and legally sanctioned housing and land markets.
Source
 
Brands za bongo ama za yule mwarabu na warabu wenzake? Mtanganyika mweusi anamiliki nini Tanzania zaidi na t-shirt ya CCM?
Hizo zenu zeto ni foreign investments. 😂😂 hata hao waarabu wenye they are kenyan ni maskini tu.
 
Pole tusker iko chini ya Eabl ambayo nayo inamilikiwa kwa 65% na familia ya kingereza
Diageo Plc huku 35% zikiwa chini ya masoko ya hisa ya dse,nse na use
Tusker is a Kenyan brand the same way Guinness is an Irish brand . Simple comprehension pia inakushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…