Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You don't have the capabilities to make anything of value, Heck! You can't even make your own food, let alone trucks. You can lie to yourself all day, but we know, what you eat doesn't make us poop.
Hii hasira yote just because bongoslum is inferior kwa assembling of products. 🤣 🤣 🤣 You need to heal, get well soon.
 
Danganya toto jinga 😂😂😂
Unafikiria hatujui?
 
Henna in Kenya is used by women only 😂😂
Not on a man to act as a tatoo. Why? Because he cannot stand the pain? Tanzanians 😂
Ngoja nikuelimishe we mwehu, Henna kiislamu ni Sunna ya Mtume Mohammad S.A.W. Kwa mfano hapo zamani walitakiwa wazee wa kiislamu kupaka henna ndevu zao nyeupe ili kujitofatisha na wazee makafiri wa kikuraish . Yaani hivi. 👇🏾makafiri walifanana hivi 👇🏾Kwahiyo henna inatumiwa na wanaume pia (wewe huna elimu hii nyamaza. 😂😂

Kwa suala la Twaha kiduku kupaka henna mwilini mwake ni kwasababu yeye ni muislamu na kimsingi kiislamu tattoo ni haram, Kwahiyo kuliko achore tattoo iendelee kubaki mwilini mwake he chose to use henna yenye itakaa kwa muda mchache then itafutika. (Hana mpango wa kuchora tattoo ).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…