Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida yao ni moja, hawapendi kupitwa na Tanzania, wanaleta ubishani mpaka kwenye vitu vipo wazi kabisa, mfano mpaka leo bado wanabisha kuhusu sgr japo wanaona aibu lkn tungekuwa hatuifahamu vzr nchi yao wangeungana kuongopa, mtu mpaka leo anabishana kuhusu uzalishaji wa umeme baina ya Tanzania na Kenya, really? Alafu walivyo sio waaminifu, wote wanaungana kubishana kitu ambacho wanajua wamezidiwa, sisi humu ukiongopa tu kuna mtu atakuja akusahihishe, ni kwasababu tuko matured enough no room for lies, kwasababu kama huna huna tu hata ufanye nn, wakenya wana safari ndefu sn kuja kuwa civilized people.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa hiyo pesa you could have built the whole city of Kisumu. Labda unaota wewe.
I thought in 2025 you could have become a better person, Kumbe wewe bado ni tu Yule baboon wa 2024.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ mzee hizi ni duka za kawaida the likes of Oca deco and Danube home and Home city Dar es Salaam. Usilazimishe vitu we kilaza. πŸ˜‚πŸ˜‚
We are not talking about deco shops au maduka ya kuuza home appliance pekee wacha ushamba. 🀣 🀣 🀣 China Square inauzwa karibu kila kitu apart from chakula. Nyinyi ngojeni stalls zenu in peace. 🀣🀣🀣


View: https://www.youtube.com/watch?v=mSv2i1AOfWU
 
Wanakuja kununua kwa stalls. 🀣 🀣
Ushawahi fika kwenye niashara kubwa ya jumla yoyote hata hapo kwenu.? πŸ˜‚πŸ˜‚ seems you are ignorant. Always biashara za jumla zinakuanga na ka display kadogo. Huyu hapa ni baba Levo akiwa turkey huko kwene commercial and logistic center. Check hizo displays in it. Baba Levo on Instagram: "Wafanyabiashara Wa DECORATION Hili Hapa CHIMBO LENU Hapa UTURUKI πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» Njooni ISTANBUL @silent_ocean_ltd TUTASAFIRISHA MZIGO WAKO MPAKA TANZANIA KWA BEI NAFUU SANA πŸ™". Haya toka upumbavu ulionao hapa. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pitia hii wewe kilaza πŸ‘‡πŸΎ
 
Kwani duka mpaka liuzwe sukari na mboga.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Si hizo ndio supermarkets mumezoea huko bongoslum, unanionyesha duka ya kuuza home decoration eti ndio kama China Square yenu. 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…