Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,035
ndio nataka kuiona hio D 2 kesho 😂😂😂Mpira wa Africa unachezwa na ranks mkuu kama una D 2 utanielewa 😁
Tazama JNIA...sasa hapa utaibiwaje?Wakenya wana njaa sn mbwa hawa. Kwanza picha linaanza mabegi yanabebwa na trekta mnaletewa abiria mnagombania kama ubwabwa wa shuhuri, hapo utakosa kuibiwa?
Nikisema mimi kuwa kilimani ni worse..wanasema nawachukia. Hawajui mimi naifahamu kilimani kuliko wote humu
Duh hawa jamaa sio wastaarabu kabisa aiseewatanzania munakumbuka ile likoni floating bridge ya mombasa mulikua munaoneshwa humu sasa imekufa rasmi 😂 Teargas nairobae Nicxie
View: https://x.com/rodgerskipembe/status/1875505159020904925?s=46
View: https://x.com/teikioko/status/1875515568784338959?s=46
View attachment 3192807
Kuna camera 360 zipo kila kona na security wa kutosha, unaibiwaje kwa mfano.Tazama JNIA...sasa hapa utaibiwaje?
Kenya ni loughing stock ya East Africa...pride na ujuaji unawablind sana.
View: https://www.instagram.com/reel/DDhFP6-I3dM/?igsh=MXE5OTlxNm84cmVwag==
Unaweza post Majengo yanayojengwa sasa hiviSasa majengo ya 6 floors ndio unaongelea na sisi tunaongelea 30 floors.
Kwikwi inahitaj prove.Ukiongea hivi mtu hawezi jua 50% ya housemaids Mombasa ni Watanzania.😂😂😂
Sisi tunaproof ya nyinyi kuwa Maids na kudinywa kabisa na waarabuKwikwi inahitaj prove.
Hii kilimani zamani walikuwa wanaipamba kweli kweli na vipicha vya upande upande, kumbe ni trash 🗑️🚮Nikisema mimi kuwa kilimani ni worse..wanasema nawachukia. Hawajui mimi naifahamu kilimani kuliko wote humu
NairobiWalker anasema Kilimani has the best horizontal infrastracture than anywhere in East Africa.
Sisemi hakuna Barabara mbovu Kilimani, nasema na huo ubovu, hamna estate hapo bongolala iliyo na Barabara poa kuliko Kilimani. Kama nadanganya bisha.Nikisema mimi kuwa kilimani ni worse..wanasema nawachukia. Hawajui mimi naifahamu kilimani kuliko wote humu
NairobiWalker anasema Kilimani has the best horizontal infrastracture than anywhere in East Africa.
Those are main roads, the Kilimani one is an access road. Main road ya Kilimani hii hapa, compare it with that main road of yours apples to apples ndio utajua ninachoongelea.
View: https://x.com/vickyojays/status/1875580845148557654?t=fEZiUdrq_aSvh3uS338XKw&s=19
View: https://x.com/254lyt/status/1875651271711191483?t=aBj__Ktdq8NSzgesgh3C2g&s=19
View: https://x.com/vickyojays/status/1875580845148557654?t=lb2Z7vqAZjOlVqWi0CHiGQ&s=19
Wakenya wenyew wakitembelea Dar es Salaam wanakubali barabara zetu.
Wengine wanalinganisha kilimani na sinza😂
Imagine sinza....
Wakina NairobiWalker wanasema nyuma ya blue tower hakuna tarmac roads.
Pia mna proof Kenya iko na highest remittances in East Africa.Sisi tunaproof ya nyinyi kuwa Maids na kudinywa kabisa na waarabu