22 yrs ni ndogo sana sana bro atleast ungeniambia 30+ yrs kidogo ningekuelewa ila kwa sasa bado nchi inahitaj mambo mengi ya msingi kuliko ndege ya rais, tuelezane ukweli kwenye hiliAngalau ingeuzwa ingeweza ku make sense, ila 22 yrs for a private plane sio mbaya sana , bado G550s zinatumika , na hapo sio ndege kubwa bado , Boeing 737-7 Business jet ingemake sense kama wanataka ku replace G550s , cause inaweza kubeba walau watu wengi
upotoshaji gani wakat kila kitu kiko bayana mikopo inachukuliwa haieleweki inatumika ovyo ovyo tu hakuna uwajibikaji alaf tunawacheka wakenyaichoboy01 mpotoshaji unaitwa huku π π
View: https://www.instagram.com/reel/DEXKkv2tEMG/?igsh=MXVzaGxxOHA4cmpiYw==
Why why watanzania siku hizi hawaipendi hata hii nchi yaani uzalendo hamna imagine unaiba kabisa hizo zote mwisho unasikia TANESCO wanaoga lawama, TRC wanaoga lawama tunachafuliwa reputation ya Mradi kisa wajinga wachache.upotoshaji gani wakat kila kitu kiko bayana mikopo inachukuliwa haieleweki inatumika ovyo ovyo tu hakuna uwajibikaji alaf tunawacheka wakenya
juzi nimeskia mkuranga zimekamatwa mali za mabilioni za TRC tanesco na dawasco yani mpaka unajiuliza waziri mwenye dhamana ofisini anafanya kazi gani , nani awajibike na nani anatakiwa kuwajibisha
View: https://x.com/eastafricatv/status/1874818233066213834?s=46
View: https://x.com/nipashetz/status/1874813366897885445?s=46
View: https://x.com/mshambuliaji/status/1874909804352688566?s=46
i like your dim-witted jiving β¦..must be a mental slow day in Tandale β¦ do you realize itβs your own kind that picked a whole first world state of Arizona and put it into comparison to your dusty town of Dodoma?β¦.. address that firstβ¦Why donβt we pick Nairobi instead?
Acha ujingaReli kungΓ³ka is not an everyday thing. You do not need a road running along the rail to fix that. Think.
Hii itakuwa Nyandarua County as if coming from Nyaruhuru towards NyeriπApparently even the fewer roads they have in kunya are of very poor quality, yet they call it highway, wtf is this
View attachment 3191568
Very disorganisedLuxurious bus built in Kunyaland ,
Buy Kunya build Kunya ..
kmmq dah ,
Watu wanasafiri kwenye malori kama magunia ya mahindi πππView attachment 3191572
Reli yenu ya ******* haihitaji service road! Sasa usifananishe na yetu nyoko wewe!Reli kungΓ³ka is not an everyday thing. You do not need a road running along the rail to fix that. Think.
Kwa nini huipongezi Serikali Kwa Kukamata wahujumu uchumi?upotoshaji gani wakat kila kitu kiko bayana mikopo inachukuliwa haieleweki inatumika ovyo ovyo tu hakuna uwajibikaji alaf tunawacheka wakenya
juzi nimeskia mkuranga zimekamatwa mali za mabilioni za TRC tanesco na dawasco yani mpaka unajiuliza waziri mwenye dhamana ofisini anafanya kazi gani , nani awajibike na nani anatakiwa kuwajibisha
View: https://x.com/eastafricatv/status/1874818233066213834?s=46
View: https://x.com/nipashetz/status/1874813366897885445?s=46
View: https://x.com/mshambuliaji/status/1874909804352688566?s=46
Hajui yetu ina parallel infrastructures kama za umeme overheads wires, pylons and electric stations so lazima iwe na service road while yao ni tracks tuu π€£π€£π€£Reli yenu ya ******* haihitaji service road! Sasa usifananishe na yetu nyoko wewe!
Kumbe alisifia sgr station, basi inatosha, nilifikiri atasema sgr ni hovyo.What on earth is service road ya reli bradhee?
Railways are serviced by vehicles that move on the rail, not beside the rail.
Beside, this photo was taken by a Japanese man who rode a boda boda on the road on his way to the SGR station and he clearly stated that the road is unpaved
View: https://twitter.com/JapanAmb_TZ/status/1824813226783109320
We msenge kinachokuumiza ni maendeleo ambayo Dodoma imepiga mpaka leo, kwnn unafosi vitu havipo? Unaweka mpaka picha ya nyuma ya jengo na fence unaiona lkn unalazimisha eti ni barabara, endelea kuumia lkn haizuii Dom kuzidi ku develop.Still ni mazingira ya ovyo. Mpuzi mwenzako kasema ni first world environment eti inakaa Alaska. Kuna first world ipi Railway Station itajengwa alafu iachwe hivo?
Umetumia nguvu nyingi kumjibu kichaa,hivi kwa akili pesa iliyotumika kujenga ile station,serikali ndio ishindwe kujenga barabara ya km 10!Station ya Morogoro wanajenga bypass ambayo hadi malori na mabasi yatatumia ili yasiingie Morogoro mjini. Hio ndio barabara ya kuingia station, hii inayotumika sasa ni diversion tu wakati wanajenga hio bypass.
Leo ndio nimehitimisha kuwa hili ni lipumbavu. Nimelitupa kwenye dust bin.Umetumia nguvu nyingi kumjibu kichaa,hivi kwa akili pesa iliyotumika kujenga ile station,serikali ndio ishindwe kujenga barabara ya km 10!
Hawana hoja hao,tumewapiga kila sehemu kwenye sgr,so wameamua kuleta ufala wao kivingineLeo ndio nimehitimisha kuwa hili ni lipumbavu. Nimelitupa kwenye dust bin.