Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni vizuri kuskia hivyo hata mimi nilikuwa Nairobi miezi miwili iliyopita, wenyeji wangu ambao ni taasisi kubwa tu walinihost vizuri sana walinipa gari na dereva wa kuniendesha muda wote na nilikuwa naishi kwenye nice apartment, lazima tuwe wakweli NBO is just a typical African City, Ina uzuri na ubaya wake, wacha nikuchape na hii moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…