President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,624
- 94,225
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣She's comparing Nairobi to Johannesburg you idiot. Of course she'll find Nairobi shitty compared to Joburg.
Do you want me to post you videos of foreigners who compared Nairobi to Dar? Every foreigner who compares Nairobi roads vs Dar roads says Nairobi is better. Ni nyinyi tu hamtaki kukubali. Here is one. Kwa unafiki wako unasema waliotembelea Kenya na wakatembelea Dar wanasema Dar is better alafu unapost video ya Nairobi vs Joburg. 😂 😂 😂 Uache unafiki.
PS. Nakupa challenge, upost video za foreigners wakisema Dar is better nami nikupe za foreigners wakisema Nairobi is better tuone nani mshindi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=cArwaoCYgm0&t=938s
Au sio.Kule Kaskazini
Isiolo
Marsabit
Turkana
Moyale
Mbona mna tabia ya kubadilishabadilisha mada mkishaashikwa makende?Au sio.
Bado kuna umaskini wa kutupwa huko northen Kenya.
View attachment 3183937View attachment 3183938View attachment 3183941View attachment 3183940
View: https://youtu.be/vweu-bPxRsw?si=o2D7RF8JsQVFO5an
Kwahiyo unataka kulia?Mbona mna tabia ya kubadilishabadilisha mada mkishaashikwa makende?
Leta data zako za kenya then mimi nikufunguo maskio.
Mitanganyika Kwa kujifariji hamjambo. Tafuteni rika zenu Burundi na Uganda muongeeTatizo hawa nyang'au wanafikiria wako mbele ya Tz kwa kila kitu; ha ha ha😁
Mambo ya umeme mdogo wangu tulishatoka huko since 2024 April Tanzania kwa sasa ipo na 4GWMitanganyika Kwa kujifariji hamjambo. Tafuteni rika zenu Burundi na Uganda muongee View attachment 3183957View attachment 3183959
Hujui kuwa mmeanza kununua umeme Tz?😁Mitanganyika Kwa kujifariji hamjambo. Tafuteni rika zenu Burundi na Uganda muongee View attachment 3183957View attachment 3183959
Kinacho waponza ni kujipamba sana kwa uongo. Sisi tuko kimya na wengi wanafikiri sisi ni mafukara wa kutupa due to coverage mbovu inayoenezwa na Wakenya, sasa wakija wanashangaa tuko vizuri.Nikisema Mimi mnasema nawachukia, oh niko hypocrite.
Hawa ni foreigners waliodanganywa kuwa kilimani ni coolest sijui vitu gan in Africa wakajaa...ona wanaishia kuwa disappointed. Yule mtu aliyesema kuwa Nairobi is developed online hakudanganya....
Yaani kilimani mnavyoipamba na aerial shots ni tofauti kabisa na kwa ground.
Let me tell you something most people waliotembelea kenya halafu wanatembelea Tanzania wanakuwa disappointed na kenya. Kenya online mnasema mna best infrastructure and developed lakin wanayokutana nayo kwa ground ni tofauti.
Tazama hii comment and video hapo chini... American anafanya comparisons...
View attachment 3183928
View: https://youtu.be/PZayW3ocluM?si=st_TEqhfY_et6pSQ
As usual 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 UtopiaYule tajiri wao anaemiliki kila kiwanda tanzakundu Yuko wapi hapa 😂😂😂
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1871237905806725254?t=CP09MvqcRxrFmg560R-zBQ&s=19
Nimepita barabara zao kuu nyingi Nairobi Nakuru Nyaruhuru kiganjo nanyuki nyeri Meru hizi trunk roads zao ziko kama barabara za countryside/kijijini huku kwetu.Hata hiyo road ni ya kufikirisha pia. Hawa wanapakiwa kwenye Chai-Maharage wanapelekwa ushago kuliwa na funza!