Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,147
- 33,026
Tena kabla hata hawajazaliwa ha ha haππWanatembelea swagaz za past π·
Unatuletea news ya 2018, alafu tangu lini layoff ikakua shutting down. We mzee ni fala sana. π€£ π€£
Akikutana na mwanautopolo lazma amalizie hasira zake kwa mhusika kwa madudu yanayofanywa na Yanga!
mm natumia milo inayotoka south africa na sijawah kuona sehem yoyote milo imetoka kenya kwa hapa tanzania even colgate ni either south africa or malaysia sasa mm nakushangaa sana munaenda mbio kisa ruto kawaambia ukweli kua tanzania inauza zaidi kenya kuliko kenya inavouza tanzania πππEbu tuonyeshe penye tumesema hizo ni kampuni za Kenya. Najua Unaumia kwamba hizo kampuni decided to put up a manufacturing plant in Kenya and all the Unilever products mnatumia Tanzania zimetoka Kenya zoteππ
Asee ***** huo mzigo wote?Nilijua lazima wakenya wanahusika kwenye hujuma miundombinu ya SGR yetu, sasa wakenya wataonja joto ya jiwe, wanajuta kuijua Tanzania
View: https://youtu.be/CzRmN_h2H7w?si=Q9OZiY0rsPrwHEMF
Uchawa unategemea nini?Kuna level ya tolerance Kenya wamefika sisi bado sana. Raia wa Tz akisema hivi atapata tabu sana.
View attachment 3178952
Kama nyuma vile π€£
Very Beautiful. Nairobi huwezi ona vitu vizuri kama hiviKama nyuma vile π€£View attachment 3179561View attachment 3179563
Hawa ndugu wana aibu sana.Nilisahau, pia viwanda vyao wa sukari huwa wana import sukari Brazil na kuiba nyingine kule Somalia ambayo ipo tayari kwa matumizi then wanafunga kwenye packages zao. πππ
View: https://x.com/iamjoseh_/status/1591067637949542400?s=46
View: https://x.com/edgarwabwire_/status/1867524191085638122?s=46
Usisahau na parachichi zetu. Wesenge wakubwa now tunafinya mdogo mdogo unaona wanavyokosa masoko sababu hawana tena.Nilisahau, pia viwanda vyao wa sukari huwa wana import sukari Brazil na kuiba nyingine kule Somalia ambayo ipo tayari kwa matumizi then wanafunga kwenye packages zao. πππ
View: https://x.com/iamjoseh_/status/1591067637949542400?s=46
View: https://x.com/edgarwabwire_/status/1867524191085638122?s=46
Kwani lazima raisi aseme wao wenyewe wanafanya nini kwani kusafisha mpaka wasubiri wazungu waje na humanity aid?
Ndio unashangaa hapo Hushangai wao kujipa sifa za MARCOPOLO anazotoa kwa SCANIA kutengeneza Polo buses?yani kampuni ya UK mtu analazimisha iwe ya kenya na sijui hua wanapata faida gani yani 2024 bado unataka kushindana na internet ππππππ
wakenya ni binaadamu wa ajaby kuwahi kutokea kwenye dunia hii
Acha hizo picha za uchochezi. Yupo njema cause anaongea ENGLISH SAFI na mfukoni ana pesa yenye "z"amani.
Kama sio zenu mbona mnajipa umhimu wa kila bidhaa yao?Nani amesema Uniliver ni kampuni ya Kenya? Can you quote or even screenshot that comment here tuone. Mpo desperate sana mitanganyika
Mbona unarudia rudia kijana? Mkivizia kamradi kamoja mnaanza kukapamba as if not big deal muda huo huo unarudia rudia kutikisa makalio.Mtu akiskia vile watanzania wanaongea haezijua mko na flyover Tatu pekee nchi nzimaπ
Progress
View: https://youtu.be/3rj0eMCA0MA?si=NULFhmF1hX29wa6G
Waaaa kumbe hio skyscrapper ikona barabara ya vumbi nyuma. π€£ π€£ π€£Kama nyuma vile π€£View attachment 3179561View attachment 3179563