Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maskini wote wakiookea mshahara cha kwanza ni kubajeti chakula.

Unajua gharama za kuspend kila siku? Vyakula vya Tanzania ni mchanganyuko wa madikodiko kibao sio Kimbo na Sukuma.
Boss, no rich or middle class person buys flour when he wants to bake a cake or sugar when he wants to make tea. Rich and middle class people shop once in a moth or in two months or in three months. They also have fridges where they store their perishables. Only poor people buy stuff in tiny quantities when they want to use them. Here in Kenya we call that kind of lifestyle 'kadogo economy' Yani economy ya wadogo wasiojiweza. It's clear you are a poor man.
 
English is Englishing 🤣🤣🤣🤣🤣
Enjoy Screenshot
 
Where does a poor man get money to spend on a daily basis?
I can be here, there or anywhere any any given time and day. Sherere ni kila siku Tanzania na karibia kila week unajikuta uko kwenye minuso mara zaidi ya 3.

Arusi: Kuna kitchen party, sendoff, wedding celebration, inner party. Hapo ni kuanzia alhamisi mpaka jumatatu, watu ni kula na kunywa tu.

Picha hizi hapa chini ni harusi South Africa, hata masikini Tanzania hawana harasi za kichovu namna hii. Kwa kweli Tanzania tumebarikiwa sana na utamaduni wetu wa kushikana mikono na kuinuana kufanikisha mavituzi ya nguvu. Wajinga wengi wakija Tanzania na kuona life letu wanakubali sana na wakiudhuria harusi zetu, sio poa.




 
Where does a poor man get money to spend on a daily basis?
It's called kadogo economy here in Kenya. Yani you are living from hand to mouth. In short, the little that you get everyday you spend it on your daily needs, mostly food. Such people usually buy in small quanties but almost on a daily basis because they don't have money to do bulk buying. Usijifanye hujui hizi vitu bongolala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…