Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wachawi hawajui anything about soft money. That’s why ukiwaonyesha transaction statements wanasema ati ni virtual world. The likes of watchmen aka The best 007 are keeping money under the mattress yet wako hapa wanasema they have more transactions than KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakuna tajiri anaejielewa ananunua hizo takataka, they look ugly and scary screaming fatalities everywhere, huwezi linganisha huu upumbavu na Chinese professional buses zilizopita ISO professional accident, durability and mechanic tests
Katarama Jana kaongeza basi nne from Kenya. Ama unapinga I kuletewe evidence?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Sio value of money transferred tu bali mpaka idadi ya wakala tumewatriple

 
Hukana sehemu utakuta mkenya kakodi shamba
 
Wakundustan hawana hata soo soo za expressway, wapo radhi wafike ngoma 6 kwenye slums zao kuliko wampe mchina haki yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimelipia Expressway more than you can imagine. Wewe hata kununua kerosine ya 20 bob to use in your house inakushinda juu najua huna electricity kwakoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu in charge wa hii taarifa kutoka central bank yenu alisahau script ya statistics za Kunyaland, au kasongo alifukuza kitengo cha fake data chote to curb over spending? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Wewe ndo hujui chochote kuhusu Cash crops Tanzania kama ni hivyo tutajie mazao ya biashara yanayolimwa Tanzania
Tanzanians mainly do subsistence farming, large scale farming in Tanzania are done by foreigners Kenyans included.
 
The project is already failed, what happened to elektrik SGara?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚



View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1867457741826273640
Haya Basi wale machawa njoo tusifie Kichwa kipya cha Diesel.

Wapumbavu sana, mmeshindwa manage SGR tu bado mnataka tuwape credibility ya mradi.

VIVUKO vimeenda,
MWENDOKASI HOI
SGR mnaenda imaliza, like seriously kuona moshi wa Diesel kwenye reli yetu ni ujinga mkubwa sana.

Umeme kukatika katika huku watu wanakata waya mnawachekea.
 
Unajua maana ya 'BACK UP' ? Walipanga siku nyingi kununuan za diesel hasa za mizigo. Bahati nzuri reli yetu unaweza kutumia hata treni ya diesel, yenu hamuwezi kutumia ya umeme. Endelea kuumia.
Watu wanapotosha sana au wanasoma vichwa vya habari tu...
Ishu ni kwamba kile kipande cha kutoka Banda la ngozi mpaka bandari hakitakuwa Electrified bali watatumia diesel locomotives mpaka hapo...hawataki mifumo ya umeme iingiliane na mfumo wa bandari.

Yaana ukiingia tiktok wakenya wamefurahi hicho kichwa cha habari kama vile nchi yao ndo imefungua SGR ya umeme...Roho Mbaya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…