Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Simba alishindwa kazi na Gor walishindwa kumlipa alicho demand... hizo nyingine ni porojo!
 
Poleni wakenya meona habari kuna lori limevaana na matatu 17 wamefariki duuu..r.i.p kwa walopoteza uhai mungu awape nguvu ndugu na jamaa zao..ila na jeshi la usalama barabara liongeze juhudi maana wanasema kwa mwez huu december tu more than hundred died kwa accidents
 
Duuuu siamin hayo maneno umeandika wewe hahahaha ....nahisi leo umelala na demu mkali sana asee sio kwa mood nzur hii ulonayo leo...hongera atleast leo umeongea ukwel
Mbona niingie JF kukasirika ilhali Mtanzania pia ni ndugu his veins running with black blood kama yangu. Maendeleo Africa ni advantage kwetu site kama WaAfrica.
 
kaka ni kama ulikuwa unatembea kwenye akili yangu...nilitaka nianze kuelezea hayo uliyoyaeleza.

umemaliza kila kitu.sina cha kuongeza.
wa kukuelewa wamekuelewa,wa kutoa povu watatoa ila hautabadili ukweli.
 
Sportpesa is sponsoring teams in tz,south A ,UK na tumenyamaza....Azam gets rights to air a one week tournament and kadoda becames so happy that he cums on his pants
 
Sportpesa is sponsoring teams in tz,south A ,UK na tumenyamaza....Azam gets rights to air a one week tournament and kadoda becames so happy that he cums on his pants
inaonekana roho inakuuma sana kwa azam kupenya soko la kenya.pole sana dogo.[emoji23]

hiyo kauli kawaambie KOT uone vile watakujibu.
 
kufuatia fainali za cecafa hapo jana,azam tv imekuwa gumzo kenya,kwa sasa hata wale wakenya waliokuwa hawaifahamu, wanaifahamu.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
kolo mjibuni huyu mkenya mwenzenu....ana maswali yake muhimu kauliza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

anadhani gharama ya kununua modern equipments special for broadcasting big sport events ni sawasawa na gharama ya ku-rent 3 bedroom apartment hapo nairobi.smh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
huyu bila shaka atakuwa ni member wa jf....sio kwa povu analotema huko Twitter....eti one camera.smh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…