Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muwape hata faraja jamani watani zetu hamuoni wamenyongonyea, tuwape pumzi kidogo heheeee
 
Hawa tunao mpaka tupate Mada mpya ndo tutahama
 
English in bother kivipi? Eti kiswahili sio lugha yetu? Ni yenu basi kazi kupiga broken kila language.

Kiswahili hamkiwezi, English ya Ugoko, mnaweza nini?

Msitake kutuletea ufala wenu wa Jaluo na Kikuyu baki nao.
 
Hakikuanzia Lamu tena? kwa Hiyo Kiswahili kinasomeka kama ulivyoandika. Ujinga mwingine mzigo. Una ufahamu hata Lugha ilivyo?
You are an idiot. History hujui na technology pia hujui what do you know? Soma the highlighted part.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…