Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 🤣 Also that one was not the Image background. Check ya kwenu imekaa kishamba sana. Mnaweka Image background. Check ya china. Is very simple.
👇👇👇👇

View attachment 3173222
Website inatakiwa iwe simple and fast so that passengers can book their tickets easily, fast and conveniently sasa ukiweka mapambo kwanza Website itakuwa slow given the nature of our Internet connection in various places and device used hivi vitu vyote vimezingatiwa kwa Tanzania. Abiria akiwa kilosa anaweza akafanya booking kwa urahisi hata akitumia simu ambayo sio smart on a 2G network.
 
Ati tuna km 20000 za lami kenya...
Hapa hata sio mbali na Nairobi
 
Hiv kwa nini kenyans wanabenda kubush nchi nyingine za Africa na kusema wameendelea wakati in reality nchi kwao kuna sehemu worse kupindukia...
Tazama hii highway ya huko kenya...bora hata Tz kama Highway haina lami kama ile ya kule katavi alikopita kinovyes basi itakuwa na changarawe ngumu..kiasi kwamba hupati shida sana.

Tazama hii highway ya huko kenya hata changarawe hakuna.... sijui viburi vya kenya wanavitoa wap...na uongo wao ati wana km 20k za lami...ziko wap

View: https://youtu.be/vweu-bPxRsw?si=hbuf8uR2U2yQOlw0
 
Imeandikwa wapi ita offload 4000 containers zote kwa Dar port pekee?
 
Imeandikwa wapi ita offload 4000 containers zote kwa Dar port pekee?

Imeandikwa pale ume reply. Maana uli reply ili uonekane ume reply badala ya ku reply ukiwa ume elewa content. Rudisha tena ile tweet ya evergreen utaona.

Wanashusha 4,000 units pale DSM Port.
 
Imeandikwa pale ume reply. Maana uli reply ili uonekane ume reply badala ya ku reply ukiwa ume elewa content. Rudisha tena ile tweet ya evergreen utaona.

Wanashusha 4,000 units pale DSM Port.
Ebu nionyeshe imeandikwa wapi inashusha containers zote?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…