Kigamboni inakaribia 1m people. Wakazi.Huyo jamaa ni pimbi lile aina ya wale mapumbavu yanayoichukia Tz bila sababu za msingi. ๐๐๐ eti limeenda kutafuta picha ya boda moja then linakwambia eti hapo hakuna traffic ya gari tano.. si ni uzuzu huo. A place like kigamboni .? Sehemu iko na population like 300k+.. jamaa nilipumbavu kweli.
Kujibu umejibu ila jibu linaonyesha kuwa wewe ni mwendawazimu.Umeuliza swali na nimekujibu ipasavyo. Wewe ndio mwendawazimu,; jiangalie sana kijana๐
Bongolala, hizi vitu haziitaji hasira na emotions. Hapa tunatumia facts, feelings ubaweza pelekea watu wa ukoo wako.Unaishi kwenye Utopia or something nyie jamaa mna KENYA yenu maalumu ambayo hatuji ilipo.
You are too poor mpaka mnakimbia na ugali in time of distress, you are too poor mpaka mnawekewa ruzuku ya unga wa ugali ambao ni bob kadhaa.
You are too poor kiasi kwamba roli hata ya soda za jero bongo ikianguka mnafakamia.
You are too poor kutumia Chai Maharage karne ya 2024 CBD.
GDP ya nyoko 80% ni madeni kinachobaki hata sisi tukilipa madeni surplus ipo juu same na Per Capita yenu, 80% ya Per Capita ni deni mnabaki na bob kadhaa.
Middle class ya kusubiri affordable housing ndio middle class gani au middle finger?
20 FLOOR ndio utajiri? Ukichaa huu.
Tukichukua pesa ya mradi mmoja bongo tunaweza watengenezea city mpya huko Ukunyani.
Mwenzako akipost picha ya expressway hakujua kuna peak hours na non-peak hours? Hakujua expressway haina msongamano kisa ni EXPRESSWAY - yani barabara isiyo na direct intersections? Hilo jibu nimempa ili ajifunze kufikiria. Yani kila siku mnapost humu picha za expressway mkisema haina magari wakati barabara zenu majority ni empty.Wewe kichaa? Sasa hivi ukienda Kigamboni lazima upite hio toll bridge na gari. Sasa unataka kusema wakazi wa Kg hawatoki huko? Kuna traffic kali sana hapo during peak hours.
Yani hakuna siku nishawai ona hii bridge ikiwa na magari mengi kushinda expressway ya Nairobi alfu mpo humu mnajifanya kushangaa eti expressway haina magari.Unasema? You serious na hii?
Picha ya chini ya expressway inaonesha ni peak hours. Au labda hio foleni ya chini ni 24hrs.Mwenzako akipost picha ya expressway hakujua kuna peak hours na non-peak hours? Hakujua expressway haina msongamano kisa ni EXPRESSWAY - yani barabara isiyo na direct intersections? Hilo jibu nimempa ili ajifunze kufikiria. Yani kila siku mnapost humu picha za expressway mkisema haina magari wakati barabara zenu majority ni empty.
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Weka takwimu Wacha ujinga,hata ukiingia TanRoads hakuna hiyo network.
Kwa Barbara zipi alizojenga Mwendazake Hadi tuwe na hiyo figures?
Weka hapa huo ushahidi wacha maneno ya kijinga kijinga๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
reje post za 2020 to 2021 ushahidi upo kila kiti ndio maana swali langu ni toka 2021 mpaka leo hakuna barabara zimekamilika sizungumzii bara za tarura sijui za km 2 sijui 3 nazungumzia barabara za tanroad
You are very stupid!Aishi asiishi ina faida gani kwangu wewe Geuza udinywe?
Halafu there were no boers in Namibia. Namibia was colonized by Germany. Kawaida masomo ya Bongolala ni ya ovyo. ๐ฎ ๐ฎ
It is an expressway..................No junctions hence no jam. Kama unaelewa transportation engineering utaelewa. Expressway inaweza pitisha magari mengi ila hayatasongamana. Shida yenu ni akili ndogo. Hapo kwenu barabara kama zote ni empty.Picha yao imeonesha Kuwa wengi opt not to use expressway.
Currently that's the only access to Kg for motorists. So let's conclude Kg residents don't own cars.Yani hakuna siku nishawai ona hii bridge ikiwa na magari mengi kushinda expressway ya Nairobi alfu mpo humu mnajifanya kushangaa eti expressway haina magari.
They don't apparently. Very low traffic for a bridge that everyone uses. Anyway, that area is extremely underdeveloped. 628 sq.km of no tarmac road is no joke. That's about the size of Nairobi county with no tarmac.Currently that's the only access to Kg for motorists. So let's conclude Kg residents don't own cars.
Acha blah blah. Some motorways in Europe are clogged. Now that 20plus km A road ndio kamalize foleni. Nairobi motorists shun that expensive for nothing toll road.It is an expressway..................No junctions hence no jam. Kama unaelewa transportation engineering utaelewa. Expressway inaweza pitisha magari mengi ila hayatasongamana. Shida yenu ni akili ndogo. Hapo kwenu barabara kama zote ni empty.
Sawa.They don't apparently. Very low traffic for a bridge that everyone uses. Anyway, that area is extremely underdeveloped. 628 sq.km of no tarmac road is no joke. That's about the size of Nairobi county with no tarmac.
View attachment 3172614
Mnapenda sifa za ujinga wakati ukienda Africa kusini hata hawawatambui.You are very stupid!
Nambia ilikuwa kama moja ya province za South Africa kipindi chote cha Apartheid na ndio walioijenga.
Cities: Windhoek, Swakopmund, Walvis Bay, Keetmanshoop, Luderitz. Hi miji yote na mengine mingi ni majina ya Kiafricans cha Boers. Wanamibia karibia wote wanaongea Kiafricans kwa kuwa, eneo lao walikubali mitaala ya elimu uendeshwa kwa lugha ya Afrikaans wakati vijana South Africa walikataa na ndio machafuko ya Soweto Uprising na vijana wengi kuuawa na kujengwa kwa Somafso in Tanzania, settlement yenye shule, nyumba za makazi, hospitals kwaajili ya vijana wadogo waliokuwa wakikimbia huko.
Isn't this what I was telling you?It canโt count if non operational! It is inexistent!