Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo la uwajibikaji awamu hii, ni kweli hata kama wenzetu hapa wanakataa.

Kuhusu Museveni kujenga reli Malaba, inaweza tuu kuwa ni katika kuwapoza Wakenya baada ya bomba kupitia Tz. Pia inampa Uganda the upper hand kibiashara, kupunguza gharama (supply/demand)
 
Unajua usafiri cheapest duniani ni meli. Hizo kilometers from mwanza to Uganda kwa meli utasave hela nyingi kuliko ungepeleka train from Isaka to Uganda au from Malaba to Uganda..
Inategemea. Cheapest, inakuja baada ya kulinganisha gharama za usafiri wa aina zote pamoja na anga, kwa umbali mrefu (mfano bara moja hadi jingine). Ila linapokuja suala la usafirishaji kwa treni ya umeme, tena umeme wa nguvu ya maji, ukiongeza uharaka wa kufika, reli ndo kila kitu.
 
Kwenye ku launch skyscrapers tulishatoka...Dar Kila siku watu wanaomba vibali vya kushusha majumba na kupandisha skyscraper... Kariakoo inafumulia Kila Kona....
Hii bita unataka kuanza wenzako walijaribu wakashindwa, nakuonyesha buildings zenye ziko under consyrucntion wewe bado unaongelea render. Anyway ukinionyeshe anywhere in Tanzania where a 20 floor building inajengwa natoka JF saa hii. Hizo nyumba za Kariakoo unaongelea ni tu zile za 5 floors zenu za kawaida.
 
Mwenzako anaweka miradi iliyo under construction wewe unaeka renda na picha vifusi. Uchizi mwingine bhana. 😂😂😂
Wewe baboon unakuanga na shida kweli, jamaa ameweka tu picha ya render wakati mimi nimeweka render plus construction progress. Maybe hiyo picha yake ya construction imenipita, ebu ipost tena.
 
There is no building of 20 floors inajengwa Dar, prove me wrong with a picture of a render and the construction progress.
 
Nakuoba ufukunyue renders zako zote umalize... Siku nikienda Kariakoo pekeyake itashindana na renders zako zote.. Picha itapigwa uku majengo yanajengwa ndo utaijua Bongo Dar es salaam.
Building yenye already iko on 14 floor unaita render? Ukienda Kariako plus do mind hakuna building yoyote under construction below 20 floors nimeweka hapa. So ukianza kutujazia pages na 5 floors buildings wakati sisi wakenya tunaweka 30 floors buildings utaonekana mjinga.
 
Kariakoo mitambo inachimba Kila siku uko mashimo ya kunyanyua skyscraper za maana. Renders mtazikuta site. Nikipata muda nitakuwa nitawapigieni picha.
Tangu lini 5 floors buildings zikawa skyscrapers? Tanzania ijengwe Skyscraper alafu mnayamaze?😂😂
 
Kwenye ku launch skyscrapers tulishatoka...Dar Kila siku watu wanaomba vibali vya kushusha majumba na kupandisha skyscraper... Kariakoo inafumulia Kila Kona....
You are an idiot, umaezatokaje kwa stage ya ku launch building construction when hata approval hujapata? Bila aibu unasema ati “kwenye ku luanch tulishatoka” and tyen in then in next statement unasema ati kila siku watu wanaomba vibali😂😂.

By the way, unaongelea vile vibali vya 80 buildings of between 2-5 floors worth $150M the whole year? Are you aware that Nairobi alone has abuildings aprroval worth $1B in 6 minths?
 
Itel nao wanajenga lao along Uhuru Road near TOTAL station
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…