Vijana wanapenda wanasiasa/viongozi kuliko nchi yao. πππ
Mkuu pamoja na fitna huwez linganisha mradi wa bomba mafuta na reli.sababu moja wapo ilikua kupunguza kodi na kukubali kununua share ya asilimia 15 ndio hzo hzo sababu zilitumika kama fitna ili mradi uje kwetu usiwe kama mtoto wa miaka miwili ππππ
kama vita baridi haviwezi kuisha na huna silaha jiandae kushindwa just simple and clear, ile keki tulisema hawawezi kula kisa mseven ni mtanzania ndio wanakula sasa na sisi tupo tunasifiana ujinga πππ
Aliruhusu Machinga kufanya biashara barbarani!
naona unanitafsiri vibaya, ila ukitulia vzr unaeza nielewa nn hoja yanguUmeamua tu kuwa pinga pinga kisa una mahaba na utawala uliopita.
Huwezi kulinganisha old fashioned chines class one railway na AREMA railway hata kidogo. Bado Tanzania ina nafasi kubwa zaidi ya kushindaa hii game.
Kwa rail yetu mzigo unaweza kutoka Dar port na kufika portbell mapema zaidi kuliko mzigo kutoka mombasa kufika malaba. Kwa sababu jointed rail ya kenya speed ndogo, pili inabeba mzigo kidogo na tatu ina high maintenance cost kuliko rail track za umeme. Na hapo bado hatujaangalia ishu ya freight cost.. Hiyo ya diesel inakuwa na gharama zaidi.
Kwa rail yetu kuwa na same standards kati ya Burundi, Rwanda na Congo ni obvious Uganda ata join tu kupitia either Congo au Rwanda... Na kwa efficiency lazima atarudi Central corridors kwa ajili ya ku save time na cost ambavyo ndio vitu muhimu kabisa vya kuangalia katika logistics.
Bado ni ushindi mkubwa kwa Tanzania pale Uganda napo walipo amua kujiunga na AREMA standards. Na jambo muhimu zaid, mzigo wote wa SGR Uganda utapita Tanzania. Ni faida mara dufu.
Let's move on.. What happened already happens.
kwani hii miaka mitatu nchi inaongozwa na nani??? hakuna sheria imewekwa wasiondolewe barabarani mzeeAliruhusu Machinga kufanya biashara barbarani!
You should be concerned with your dead country which doesnβt have any building above 15 floors coming up.Hakuna kinacho endelea Addis, the boom is over for them,wanamalizia tu za kitambo, Hamna projects mpya.
First of all, those who to Haiti ni tu polisi na sio Jeshi. Secondly, those people are more deadly than those villagers killing your armies with Machete pale DRC.You are an epitome of stupidity! Yaani jeshi lenu linapigana na wavuta bangi, wahuni unajisifia, huoni aibu?
This one has been under construction for the last ten years, mwendo ni wa konokono.You should be concerned with your dead country which doesnβt have any building above 15 floors coming up.
A 40 floor Oramia Insurance Tower in Addis Ababa.
View attachment 3161488View attachment 3161489
naona unanitafsiri vibaya, ila ukitulia vzr unaeza nielewa nn hoja yangu
tunakubaliana wao wana treni za kizamani swali langu mm tunaeza shindana nao kwenye time? je tutawajibika ipasavyo je hakutakua na urasimu? kaka hvi vita baridi vina mambo mengi sana ndani yake, mm sipingi bali natoa hoja, ikiwa kulinda miradi yetu ya thamani inatushinda wenyewe hakuna uwajibikaji hakuna ufatiliaji kabisa kila kitu kinajiendea tu
kaka mm wakenya nina wafahamu vzr kuliko wewe hawa jamaa waone na ukabila ila linapokuja suala la kenya kwa ajili ya kenya waogope, even ATCL ilikufa kwasababu ya fitna za KQ mpaka wakanunua shares precesion kwa ajili ya kuiua ATCL na walifanikiwa je sisi tunaweza kuwajibika na kuwajibishana hapa ndipo hoja yangu inasimama
Walishaondolewa kama wamerido ni swaga za siasakwani hii miaka mitatu nchi inaongozwa na nani??? hakuna sheria imewekwa wasiondolewe barabarani mzee
Huyo ni mpuuzi tuu hanaga hoja ila chuki binafsi.Umeamua tu kuwa pinga pinga kisa una mahaba na utawala uliopita.
Huwezi kulinganisha old fashioned chines class one railway na AREMA railway hata kidogo. Bado Tanzania ina nafasi kubwa zaidi ya kushindaa hii game.
Kwa rail yetu mzigo unaweza kutoka Dar port na kufika portbell mapema zaidi kuliko mzigo kutoka mombasa kufika malaba. Kwa sababu jointed rail ya kenya speed ndogo, pili inabeba mzigo kidogo na tatu ina high maintenance cost kuliko rail track za umeme. Na hapo bado hatujaangalia ishu ya freight cost.. Hiyo ya diesel inakuwa na gharama zaidi.
Kwa rail yetu kuwa na same standards kati ya Burundi, Rwanda na Congo ni obvious Uganda ata join tu kupitia either Congo au Rwanda... Na kwa efficiency lazima atarudi Central corridors kwa ajili ya ku save time na cost ambavyo ndio vitu muhimu kabisa vya kuangalia katika logistics.
Bado ni ushindi mkubwa kwa Tanzania pale Uganda napo walipo amua kujiunga na AREMA standards. Na jambo muhimu zaid, mzigo wote wa SGR Uganda utapita Tanzania. Ni faida mara dufu.
Let's move on.. What happened already happens.
Humu inatakiwa tusifie utawala uliopita tu na kuponda wa Sasa Zaid ya hapo ni chawaHuyo ni mpuuzi tuu hanaga hoja ila chuki binafsi.
Ruksa kumchukia SSH lakini hutakiwi kupinga maendeleo ambayo wewe mwenyewe unanufaika nayo japo una Haki ya kutoa maoni Chanya au otherwise
Pinga Pinga ππsababu moja wapo ilikua kupunguza kodi na kukubali kununua share ya asilimia 15 ndio hzo hzo sababu zilitumika kama fitna ili mradi uje kwetu usiwe kama mtoto wa miaka miwili ππππ
kama vita baridi haviwezi kuisha na huna silaha jiandae kushindwa just simple and clear, ile keki tulisema hawawezi kula kisa mseven ni mtanzania ndio wanakula sasa na sisi tupo tunasifiana ujinga πππ
As I said, you are an epitome of stupidity. M23 is an army, and not a ragtag militia group like Al Shabab.First of all, those who to Haiti ni tu polisi na sio Jeshi. Secondly, those people are more deadly than those villagers killing your armies with Machete pale DRC.
View: https://x.com/NationAfrica/status/1861061535134605667
Nyie msiowajua ndio mtapata shida ila Mimi wananielewa sanaHumu inatakiwa tusifie utawala uliopita tu na kuponda wa Sasa Zaid ya hapo ni chawa
Of course not all floors are the same. The average might be 5.5 but the highest will be 10m (with multiple mezzanine floors) and the shortest could be 3m.Iβm talking about height, letβs say a height of 300M. Distribute it on a 56 floor building with a mezzanine floor. I usually see most buildings with ground floors taller/longer than the upper floors.