Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

80% mzigo wa rwanda unaingia na kutoka bandari ya dar es salaam, 80% mzigo wa congo unaingia na kutoka bandari ya dar, 100% mzigo wa zambia and malawi unaingia na kutoka bandari ya dar, 80% mzigo wa burundi unaingia na kutoka bandari ya dar, 20% mzigo wa kozambique unaingia na kutoka bandar ya dar, uganda 60% mzigo unaingia na kutoka bandari ya dar, 100% mzigo wa comoro unaingia na kutoka bandari ya dar
kwani ni mizigo hewa...jinsi bado mlivyo LDC...bandari tu inaweza ikaitajirisha nchi vilivyo
 
ingeeza kwanza bandari ya middle economy kule mombasa.[emoji23]
nikukumbushe bandari hio ndio inaongoza ukanda huu ndugu
emoji23.png
emoji23.png
....hela za Afrika Mashariki mifukoni.....kwanza baada ya 50% discount msahau wanyarwanda....nyie mna nchi chungu nzima ila bado mnapambana na uLDC
emoji23.png
emoji23.png
 
bandari hio ndio inaongoza ukanda huu ndugu....hela za Afrika Mashariki mifukoni...kwanza baada ya 50% discount msahau wanyarwanda...
acha uongo...inaongoza kwa lipi....tuwekee takwimu sahihi usitulee porojo.
 
Uganda Cranes came from a goal down to beat Burundi Swallows 2 - 1.
Uganda takes up 3rd place at the [HASHTAG]#CecafaKe2017[/HASHTAG]
 
bandari ya dar inapitisha mizigo ya nchi tano,namely rwanda,burundi,malawi,zambia na drc congo(lubumbashi).

leo anatokea mkenya kutoka kuudanganya ulimwengu eti bandari ya mombasa ndio tegemeo la EA.smh.

tuambieni,mizigo ya nchi ngapi inapitishwa na bandari ya mombasa?.
 
bandari ya Mombasa ndio inaongoza kwa kupitisha cargo...wewe pumba nini?
emoji23.png
emoji23.png
22 million tonnes per year...vs 12 million for Dar port
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Pili, its the most efficient port and its the largest port in East and Central Africa...ina maana kwa hizo nchi zote mmepitisha 12 million tu?

ww badala ulete takwimu za Cargo Capacity ww unahesabu nchi ngapi zilizowazunguka. Bure Kabisa!
 
bandari ya Mombasa ndio inaongoza kwa kupitisha cargo...wewe pumba nini?
emoji23.png
emoji23.png
22 million tonnes per year...vs 12 million for Dar port
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Pili, its the most efficient port and its the largest port in East and Central Africa...ina maana kwa hizo nchi zote mmepitisha 12 million tu?
emoji23.png
emoji23.png
16 million tons dar port, 5 million mtwara port, 10 million znz port, 10 million tanga port we unafkiri wafanyabiashara wanatumia dar pekeake 😀😀😀😀
na sasa dar na mtwara port iko under huge expansion
 
Back
Top Bottom