Gives us the coordinates tukulete hiyo nyumba from google map as of November 2024.Kama ni hivyo how the hell hatuioni hata nyumba tuliyojenga?
Nairobi CBD bila filter.....Wacha uongo bro, Google maps Satellite view inaupdate every 1 - 3 years. Kwa hivo the oldest satellite image ya Google Maps inaweza kuwa ni 2021.
Aisee kwamba kigamboni yote haina lami.? 😂😂😂😂 anyways nitakurudia kuhusu hili, kwasasa ni Taifa stars time.Hivi tunaongelea ukubwa wa Estate ama quality ya infrstructure? Si ni wewe unashinda humu ukisema Nairobi hakuna horizontal infrastructure? Sasa hiyo Mbezi unaweza fananisha na Rosslyn? FYI, Estate zote za Kifahari za Nairobi ziko hivo, sio Rosslyn tu. That is including Karen which is bigger than all your high end neighborhoods combined and way bigger than Mbezi. Runda hii hapa. Nionyeshe barabara moja isiyo na lami nihame huu uzi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=qK1RW5MkF1Q&t=349s
Coincidentally hiyo Marangu naijua vizuri sana.
It is a beautiful wealthy village but that'is it. It is a rural village and it's laughable to compare it to Rosslyn which is a top rated urban neighborhood. There are several villages in Kenya like Marangu FYI, but they're villages. Ni barabara moja ya lami alafu kuna farmlands. Roads connecting to the main road are not tarmaced. They're ordinary rural roads maintained by the owners of the farm. The fact that you have to bring a rural village to fight your wars about Dar es Salaam is clear indication hata wewe unakubali Mbezi ni mtaa wa ovyo. Hiyo Mbezi ukiileta Nairobi Youtube inaweza jaa hizi video mnazoshare humu za kuonesha hali mbaya ya barabara Nairobi.
Nimekwambia unaona 7000km ni nyingi kisa hapo Dar barabara ni mainroad pekee. Wewe unajua a grid of roadwork vile inavyokua barabara ndefu ukiiweka kwa straight line?
Halafu Dar Province is about twice (Not thrice) the size of Nairobi County but usisahau 40% of the province ni ushagoo. Wacha nikuoneshe kwa evidence. Nakupa assignment, nenda Google map ukazoom anywhere kwa hilo eneo nililohighlight (Almost the size of Nairobi) Unioneshe barabara moja tu ya lami (Sio mbili, moja tu) alafu utaona ulivyo mjinga unaposema Dar ina barabara nyingi kuliko Nairobi kisa ina eneo kubwa.
View attachment 3156321
Unachukua picha za kibarabara kimoja kimoja ukishare eti Nairobi ina pothole. Alafu picha zenyewe ni barabara za lami zilizo na pothole wakati most of Nairobi roads are in good shape. Meanwhile, hapo Dar unapata mtaa mzima wa kifahari barabara zote ni vumbi na unaona uko sawa. Ajabu ya kipofu kumcheka chongo.
YUKO WAPI?
Chuchunge bana eti more game.
Ok, ngoja nikuulize wewe unaonaje? Mnatuweza kisoka?
Naona unaweweseka mpaka unarudia maswali yale yale?
#AFCON2025MORROCCO
Sijui nyumba yako iko wapi. Labda wewe ndiye hujui kuitumia Google maps ama huna spatial intelligence ya kutafuta the exact location ya nyumba yako kwenye Google maps. Mimi niliijenga nyumba yangu ushagoo from July 2020 to August 2021. By November 2020 niliona foundation kwa Google maps. By October 2021 niliona roof kwa Google maps. Jengo la 1870 West pale Westlands limekuwa topped up huu mwaka already lipo Google maps. Kama uko technologically challenged sema usaidiwe.Kama ni hivyo how the hell hatuioni hata nyumba tuliyojenga?
Exactly.Gives us the coordinates tukulete hiyo nyumba from google map as of November 2024.
Eti Technologically challenged?Sijui nyumba yako iko wapi. Labda wewe ndiye hujui kuitumia Google maps ama huna spartial intelligence ya kutafuta the exact location ya nyumba yako kwenye Google maps. Mimi niliijenga nyumba yangu ushagoo from July 2020 to August 2021. By November 2020 niliona foundation kwa Google maps. By October 2021 niliona roof kwa Google maps. Jengo la 1870 West pale Westlands limekuwa topped up huu mwaka already lipo Google maps. Kama uko technologically challenged sema usaidiwe.
View attachment 3156365
Simple, nionyeshe kwa Google maps barabara moja ya lami kwa hilo eneo.Aisee kwamba kigamboni yote haina lami.? 😂😂😂😂 anyways nitakurudia kuhusu hili, kwasasa ni Taifa stars time.
Ili uwe unaiweka kila siku hapa ukishindwa mada?Gives us the coordinates tukulete hiyo nyumba from google map as of November 2024.
Hongereni kwa kukolifai!Hadi data za FIFA mnasema tumepika. Unajua mwizi kila siku hushuku mwenzake kuwa mwizi. 😂 😂
You clearly are. Kama huwezi pata nyumba yako na umeijenga zaidi ya miaka 3 then there must be something wrong with either how you process spartial knowledge or your usage of technology.Eti Technologically challenged?
Roads of Capital city of Kenya. The so called the most developed city in Africa.Sijui nyumba yako iko wapi. Labda wewe ndiye hujui kuitumia Google maps ama huna spartial intelligence ya kutafuta the exact location ya nyumba yako kwenye Google maps. Mimi niliijenga nyumba yangu ushagoo from July 2020 to August 2021. By November 2020 niliona foundation kwa Google maps. By October 2021 niliona roof kwa Google maps. Jengo la 1870 West pale Westlands limekuwa topped up huu mwaka already lipo Google maps. Kama uko technologically challenged sema usaidiwe.
View attachment 3156365
Maybe hajui kutumia google maps lakini hataki kusema😂😂Exactly.
Kwani umejenga nyumba mbaya aje hadi unaogopa kutupea coordinates? Ama ni nyumba ya nyasi😂😂Ili uwe unaiweka kila siku hapa ukishindwa mada?
Sawa bro.Roads of Capital city of Kenya. The so called the most developed city in Africa.
View attachment 3156369
Will this change the fact that Nairobi have 7,000KM of paved roads?😂😂Roads of Capital city of Kenya. The so called the most developed city in Africa.
View attachment 3156369
That na pia spatial intelligence ako chini. Unajua most people ukiwapea computer uwaambie watafute nyumbani kwao kwa Google maps watashindwa? No everyone has an SQ high enough to do that.Maybe hajui kutumia google maps lakini hataki kusema😂😂
Si mbaya ila hunaga jema na privacy za watuKwani umejenga nyumba mbaya aje hadi unaogopa kutupea coordinates? Ama ni nyumba ya nyasi😂😂
Hehehe umechosha hawa wachawi😂😂That na pia spartial knowledge ako chini. Unajua most people ukiwapea computer uwaambie watafute nyumbani kwao kwa Google maps watashindwa? No everyone has an IQ high enough to do that.