Umia mzee hakuna namna ulikua umeandaa maneno mengine tusingepita. Endelea tu. Tupo Morroco live 2025. Usisahahu kulipia king'amuzi.After kufuzu mtafanya nini huko? Ama unasahau Tanzania haijaisha Sa any game ya AFCON? Hao wote wenye unataja have won so many games.
Huyo ndiyo maana nmepiga chini, ni kichaa huyo, wenzake wote wamekaa kimya lkn yeye asiyekuwa na haya bado yupo tu kujaribu kujitutumua, mwehu huyo mwacheni aumie.Acha roho mbaya wewe nyang'au๐
Mafala hawa washanichania mkeka huku๐๐๐๐๐๐.Hawa wazuri wa kupika data na kuamini data za kijinga!
Bgoja waje na fifa ranks hapa waku9neshe walivyo juu!
Yani mkiambiwa ukweli mnasema ni roho mbaya? Aya basi mniambie ni game gani ya AFCON Tanzania ishaiwin. Nimekaa pale Nangoja.Acha roho mbaya wewe nyang'au๐
Mshaiwin any game in AFCON?Unateseka ukiwa wapi?
Nmekuja kuona wakenya wakisema Afcon si lolote..๐
Mbona niumie? Kuna vitu za kuniumiza and Tanzania is not one of them.Umia mzee hakuna namna ulikua umeandaa maneno mengine tusingepita. Endelea tu. Tupo Morroco live 2025. Usisahahu kulipia king'amuzi.
Usisahau pia madogo walienga AFCON kwa kuwapaka mafuta nyie.
Bado upo gizani wewe nyang'au, wenzako wameshaanza kuwaita jaluo fc๐Yani mkiambiwa ukweli mnasema ni roho mbaya? Aya basi mniambie ni game gani ya AFCON Tanzania ishaiwin. Nimekaa pale Nangoja.
Na Stadium gani?๐๐๐Hiyo ni tiketi tosha ya kuhosti ufunguzi na final ya afcon 2027
Will that give you a win at AFCON? Mnafaa kufocus on winning a game at AFCON, wewe unafuatana Kenya which has won several games at AFCON.Bado upo gizani wewe nyang'au, wenzako wameshaanza kuwaita jaluo fc๐
Ngoja nikuharibie zaidi. Ni hivi kadiri unavyoweka chuki Kwa SSH ndivyo unampa baraka.Acha kutuharibia ushindi na kujishikiza na uchawa katafuta point zenu kwenye Mambo mengine.
Na Stadium gani?๐๐๐
Opening and Final Match will be at Talanta Stadium, the only football stadium in East Africa.
Kama hujui alivyoingia utatumia sana na Bado Mzee hapo hujasema ๐๐๐๐Ameingiaje hapa au unataka na STAZ ianze kuwa ya siasa?
2027 we will have two best Stadiums in East Africa, thatโs Kasarani and Talanta. Nyinyi what you will host I maybe hizi matches za kawaida.Kunya huwa inachezea wapi michezo ya nyumbani