Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama you have ability to buy things in Kenya maandamano yalikuwa ya nini na sufuria kichwani. Big purchasing power no problem buying essential items such as Unga lakini mpaka state subsidy 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani you take concessions loans from IMF and WB changanya na commercial loans kulipa subsidy ili ku maintain a constant supply ya mavi to the sewers. The country is roasted to its core.
 
I used an example to explain to you what purchasing power is. You do not have to agree with my example. The motive was for you to understand purchasing power. Stop shifting the goal posts. Kama una akili ummeelewa.
 
Ninyi ni wapumbavu hamjui unga umeshuka sababu serikali inalipia almost 80% kwa flour millers 😅😅😅 ili msife njaa


View: https://x.com/RolexRono/status/1834483223880933669?t=d3Uwa-eTKTuezTVqlZM4EA&s=19
 
purchasing power gani wakati hata hata sahani moja ya chakula ni kitendawili kwa karibia kila mtu. Na walio wengi wanakula ugali na majani.

Hata Nyanya mtu awezi afford!
View attachment 3153847
Hawa wapumbavu hawajui chochote ndio maana kiongozi wao mmoja kawaambia middle class yao ndio inachafua mazingira huko kwao kuliko watu wa kibera and other low life communities they felt offended na kumjia juu.
 
See what Harambee Stars head coach said afrer elimination. He nailed it perfectly on status of Kenyan football 🤣🤣🤣
 
Najua mmeaminishwa Kenya vitu ni expensive. Nakuletea bei za November 2024 lakini wewe unaniletea article 2023. I won’t be surprised kupata bei ya unga ni cheap Kenya kuliko Tanzania.
 
Hawa wameaminishwa Kenya maisha ni magumu. Hawajakanyaga Kenya ila ukiwauliza watakuambia Bei za bidhaa Kenya ni mara mbili ya Tanzania.😂😂
Ati bei 1Kg of Unga ya Ugali ni 1USD😂😂.

Hawa watu ni wajinga tu, there is nothing else to describe them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…