Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha uzushi unashikiwa akili ,wakali.wa wapi wakati Toka juzi nakuonesha ukarabati wa shule?

Una akili za kijinga
mm siongelei uzushi na nimekuletea mpaka ushahidi kua shule inauzwa ukasema ni sawa wacha iuzwe nikakuuliza shule ya umma inauzwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

baada ya watu kua wakali na jambo kujulikana naona wamebadilisha mawazo
 
hvi vitu vipo kama geresha miaka na miaka ndio yale unaletewa senti 10 alaf watu wanazoa madini na mchanga juu πŸ˜‚πŸ˜‚

unaletewa sheria za ushoga na usagaji uzikubali ukikataa unaambiwa hakuna mikopo wala misaada, haya nambie kwa akili yako fupi huo ni utumwa au laa

lini ushawah sikia mchina kakujengea TAZARA bure au benjamin stadium alaf anakwambia wanaume wote wawe mashoga ??πŸ˜‚πŸ˜‚

brics inahusiana vp na uganda na ethiopia ??? alaf aliekudanganya uganda ina mafukara pekee, hebu nitajie nchi isiokua na mafukara afrika hii, mafukara wamejaa marekani wanalala nje itakua uganda na ethiopia au unataka kusema tanzania hakuna mafukara?
 
alaf ndio tulikua tunasifiwa kua ni miongoni mwa mifumo mitatu bora ya ulinzi dunianiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani beberu sifaa nyingiii alaf kazi kuponda nchi ambazo haziungi mkono upande wake

mpaka leo sijaamini kama north korea ni nchi iliojengeke kias kile pamoja na vikwazo vyote vya kiulimwengu lakini jamaa wanauchumi bora na wanatengeneza kila kitu kwenye nchi yao na hutoskia shida yoyote ya kiuchumi kwenye nchi yao


View: https://x.com/bbcswahili/status/1856986412119163370?s=46
 
Na mbona nchi za europe kuna traffic, in short nchi zmeendelea hua na traffic jams
 
Kwa nini baba Yako Mwendazake hakukataa kama ana jeuri si ni geresha?
 
mm siongelei uzushi na nimekuletea mpaka ushahidi kua shule inauzwa ukasema ni sawa wacha iuzwe nikakuuliza shule ya umma inauzwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

baada ya watu kua wakali na jambo kujulikana naona wamebadilisha mawazo
Kwani Mimi sikukuletea ushahidi wa Ujenzi upya wa shule? Shule ya Watoto wa kawaida inageuzwa English medium ya serikali na hapo kulipia kunaanza hicho ndichi kimefanyika ila nyie wazushi msivyojielewa mnakuja kusema eti imekuwa, nonsense
 
Pole Kwa ujinga wako, Tarura Haina fund ya tozo ya miamala Bali tozo ya Mafuta,fake mind.

Je hiyo ndio source pekee ya Tarura? Unajua hizi lami za Vijijini zinajengwa Kwa tozo Yako? RISE ni tozo ya miamala? Wacha kuropoka.

Trilioni 50 at work in Iringa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCJCm4pN84N/?igsh=bmJ1a2k4bDVlNTdn
 
Hayo Matunda mbona hatukuyaona awamu yenu wazalendo fake?

Hizi hapa ni juhudi za Mama πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCVZGTsBLie/?igsh=MW1oaGdnMjA3NDNoZg==
 
Nyie Kenya mna magari Mengi wapi? Hata Ukuchukuwa Tu mfano wa logistic companies za kusafirisha Mizigo na habiria Tanzania
Mizigo na habiria. Tanzania ni nyingi Sana na Kila siku wanaingiza magari. Nenda kwenye mining sector, cement industries.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…