fedha zote zilitolewa na AFDB as a loan na kila nchi iliepewa share yake kwenye mkopo huo tafuta mradi mwengine mr kichekesho ππIkiwa imeamza kipindi cha Magu? Au unataka kusema yeye ndiye alitoa fedha?
so awamu ya pili ilianza lini ???ππππ
Msalato ujenzi umeanza kipindi cha Samia!so msalato ulianza lini au unataka kutuaminisha nn ???πππππ
miradi mingi ya airport ilishaanza muda tu sasa unataka kutuonesha kua hii nchi haikusanyi kodi za maendeleo au kodi na tozo zinaenda wapi ikiwa kila jambo unaloonesha ww unadhani ni mikopo tuππ
au unataka kuforce kwamba tuone over 20b usd wapi ilienda kwa just 3 good yrs
ππππππππππππππππππππππππππππππππMsalato ujenzi umeanza kipindi cha Samia!
risiti yako hii hapa kaka ukiwa muongo usiwe msahaulifuπππMsalato ujenzi umeanza kipindi cha Samia!
Naona mmeanza kutoleana risiti za EFD wakuu. πππ Dah.!!risiti yako hii hapa kaka ukiwa muongo usiwe msahaulifuπππ
View attachment 3149646
View: https://youtu.be/A5SS23YCqG4
Msalato umeanza 2021/2022 awe kwako ulianza awamu ya Jiwe? ππso msalato ulianza lini au unataka kutuaminisha nn ???πππππ
miradi mingi ya airport ilishaanza muda tu sasa unataka kutuonesha kua hii nchi haikusanyi kodi za maendeleo au kodi na tozo zinaenda wapi ikiwa kila jambo unaloonesha ww unadhani ni mikopo tuππ
au unataka kuforce kwamba tuone over 20b usd wapi ilienda kwa just 3 good yrs
Teuzi za Kadogosa alisimamia Mwendazake kumbuka huyo ni Sukuma gang mwenzako,unataka tumtose? ππso kama kashindwa nani anasimamia uteuzi wake ??? au ndio vile ilimradi liende?π
Ndio ,nitaendelea kukutwanga na utitiri wa miradi.ndio hzo zimefika over 20b usd ππππ
cc ichoboy01 πππrisiti yako hii hapa kaka ukiwa muongo usiwe msahaulifuπππ
View attachment 3149646
View: https://youtu.be/A5SS23YCqG4
Mnafukuza upepo sijua hata gold yenyewe mta smuggle kutokea wapi ππGold refinery under construction in Kakamega.
View: https://x.com/WilliamsRuto/status/1856036629728690410
Muda mrefu sana upi? πππrusumo ilishaanza muda mrefu sana alaf sio ya tanzania pekee inamilikiwa na nchi tatu na kila nchi ilitoa fedha πππ
ww unatuletea miradi ilishaanza toka kipindi hicho cha magu πππππ
over 20b usd in just 3 yrs alooooππ»ππ»ππ»
Jamaa halijui,hata ring road imeanza Kwa mama.Msalato ujenzi umeanza kipindi cha Samia!
Tuletee Msalato na Ring road zikisainiwa awamu ya Mwendazake π€£π€£ππππππππππππππππππππππππππππππππ
Umeishiwa wewe loser.Pata dozi uache kuweweseka ππtuseme na hzi camera zipo kwenye madeni ya serekali ππππππ
πππ¨π¨ndio hzo zimefika over 20b usd ππππ