Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Co hana shida acha asifiwe watu wanajipigia wala haulizi sio kuwa hata samia hajafanya kitu lahasha na kila mtu ana mazuri na mapungufu yake Endeleeni kujipigia wala Co kalala usingizi
 
Wacha upumbavu wewe! Kwani JPM Ndio Financier wa mradi? Wadanganye Wasukuma wenzio!
Designe ya mradi ilishafanyika mradi upite Kenya. Magu aliwave ghalama nyingi za mradi ili tupate hiyo deal. Nadhani unajua nguvu iliyotumika kuuzima mradi. Kama ulikuwa timamu utanielewa. Kwani si IPO miradi mingi tumeshindwa kuifanyia kazi ndio maana wakenya wanatutukana, sababu ya Sgr kwenda Mwanza ni kushika soko la Uganda. Ukiwa na hakili kidogo hauwezielewa.
 
Bila mjomba huo mradi wa bomba la mafuta saivi ungekua unajengwa kenya mkuu.

Ila kama watataka tuwakumbushe miradi ya mojmba tutaileta hapa then tutaomba watuonyeshe miradi ya Sa100
 
Hizi mada zimekuja kasi hiki kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji ina maana kuna mengi yanakuja kuyasubirie kuyapokea
 
Kama ni wateule serikalini nyie pegeni mstumie nguvu kubwa kupotosha ukweli tumetoka wapi na ni wapi tulipo inaonekana JPM alifanya makubwa sana ndiyo maana wanatumia nguvu kubwa kuyazima kipindi hiki cha uchaguzi ila wanasahau kuwa watu wanajua
 
Kumbe nae anakamilisha ila hakuanzisha au alianzisha na kukamilisha
Ndio,maana hoja ni anakamilosha na amekamilisha miradi ya Mwendazake na kuanzisha utitiri wa miradi Kila sekta tena bila visingizio kama wakati ule.

Unajifanya umesahau si ndio? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sio kweli as a matter of fact JPM alikuwa hata Hana habari na huu mradi mpaka kampuni iliyopewa tender ya feasibility study kutoa matokeo kwa kumfuata Ikulu Magogoni! Huu mradi naufuatilia sana! It was pure business decision na sio ubabe wa JPM kama mnavyodai! Kumbuka Uhuru alienda mara tatu Paris ku-Lobby na akashindwa kubadili uamuzi wa Total na alitoa concessions nyingi! Kwa hiyo gharama ya kupitia Kenya ilikuja kushuka!


View: https://youtu.be/OhFZSfP2h3w?si=UNnMZCALNv8pIvmf

View: https://youtu.be/yYYwUHT_afM?si=04z5O1gxC72UFKQT
Pitia humu EACOP vs Lamu pipeline
 
Na sio kwamba alimaliza mihula yake. Alikufa tu kitu ambacho ni natural. Sijui binadamu wengine wanatumia akili gani kumlaumu Mtu aliyekufa akiwa madarani..eti hakumaliza miradi...sasa mlitaka amalizeje wakati amekufa?
Angefika 2025 miradi kiwa nusu hapo nami ningesaport kuwa hakumaliza miradi. Sasa mnalalamikiaje mtu ambaye ni marehemu?

Sasa hiv 2024.
Magu angekuwepo.
1. SGR ingeishafika Mwanza kitambo sana
2. Mv Mwanza hapa kazi tu ingekuwa na safari zake za Bukoba kila siku
3. Tungekuwa tunateleza tu Kigongo busisi
4. Magufuli city ingeshaisha. Sasa wangekuwa wanapanua Barabara tu
5. Msalato Airport phase 1 ingekuwa inafanya kazi.
6. Huenda kimara kibaha highway ingekuwa Mlandizi huko
Nk nk
 
Ilikuwa mwaka gani yh uru alivyoenda Paris know ukutana na macron na uhamuzi wa bomba kupita Tanzania ulipitishwa lini?
 
Ndio,maana hoja ni anakamilosha na amekamilisha miradi ya Mwendazake na kuanzisha utitiri wa miradi Kila sekta tena bila visingizio kama wakati ule.

Unajifanya umesahau si ndio? πŸ˜‚πŸ˜‚
Mradi upi wa Magu kaumaliza mpaka sasa? Nipe japo mmoja, alafu wewe ndiyo unatuharibia uzi kwa battle zako za kijinga na Cha ajabu kuna majinga ushayapata, zamani tulikuwa tunakupiga pini ila nowadays naona unarudi kwa kasi ya umeme kuwatenganisha watanzania kwa interest zako za kisiasa, wewe ulitumbuliwa enzi zile za Magu because of your incompetence, usimlaumu Magu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…