Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aawapii Yule alikuwa anapiga domo tu!
Wewe si ulikua unamsapotigi humu wakati yupo hai? Kuna sehemu alishika penye maslahi yako au watu wako, sisi watanzania wakawaida tunaujua ukweli. It's true that alikua na mapungufu lakini so far hakuna kiongozi wa kumlinganisha na yeye na Cha kufariji zaidi ni kuwa most of Tanzanias ni supporters wake hadi Vifo vyetu
 
Yaani huyuu nyoka hatari sana tena mwenye sumu kali hafai kabisa. Akafute ule Uzi kama JPM hakufanya kitu.
 
Wangejenga reli ya Mtwara-Makambako ,Hilo wazo lingekuwa zuri.

Nimesikia Waziri wa Mipango anasema Kuna haja ya Bandari Mpya maana 2030 Dar Port itakuwa imezidiwa.

Hakuna haja ya kujenga Bandari Mpya bali tuwekezeze nguvu kufanya Upanuzi wa Bandari za Tanga na Mtwara Kwa kuweka kitambo mipya na kuziunganisha na reli.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DB_Xk2QIYkC/?igsh=cmwyaTI1NXlhZzg=
 
Unapinga reli kuwa ni cosmetic project tena unataka ijengwe sikuelewi na sutakaa nikielewe kamwe tuendelee kula mtori nyama zipo chini
 
Huu Uzi ulifunguwa wa nini sasa kama alikuwa anapiga domo tu hiyo sgr alianza kuijenga nani utakuwa una matatizo sio bure
 
Most ?? Wasukuma wanyongaji wenzie waliofaidika nae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…