Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,235
- 107,856
Huo Ndio uwerevu ukigundua uongo unaukataa! Kumbuka msema kweli mpenzi wa Mungu alikuwa Muango! Miradi alikamilisha ni ile ya Chato tu!Sometimes naona awa wakenya Kuna wakati wanawafinya Kwa ufinyu wenu wa kifikili limtu lilikuwa hapa siku nzima linasifia magufuli Leo hii leyenye ndio linakuja kukataa
Last time mlitamba hapa nà daraja la kijazi wakiti mzee anazindua na kulipa jina flyover ya buguruni hivyo hivyo Leo vichwa maji imesahaumbwa nyingi mkiwa mnashadadia vitu muwe na kumbukumbu.
Leo tuna mpaka umeme wa ziada, ukiachilia mbali kujitoa kwenye makali ya mgao. Leo tuna high speed trains, Kikwete na genge lake, kwa sababu ya low IQ, walitaka kujenga ya diesel.Alikuwa anaanzisha miradi halafu Hana pesa! Matokeo yake akabakisha propaganda!
Issue ya Balali iliwaacha watu hoi sana. Kifo chake kiliwaduwaza watanzania wengi. Ni wachache sana walioenda kwenye mazishi yake. Watu wengi walihoji.Alivyokuwa mbinafsi badala ya kuendelea na ujenzi kuanzia makutubora - tabora akaruka mwanza kwenda isaka Sasa sijui alijua tren zitaruka juu, kipande Cha mwanza isaka kitaisha na kukaa almost miaka 4 wakati kikisuburia makutupora- isaka bonge Moja la hasara
Kaacha mradi Upo chini ya 40% japokuwa Kalemani alikuwa anatupiga songs kila siku!Leo tuna mpaka umeme wa ziada, ukiachilia mbali kujitoa kwenye makali ya mgao. Leo tuna high speed trains, Kikwete na genge lake, kwa sababu ya low IQ, walitaka kujenga ya diesel.
Umesahau familia yao walijimilikisha stendi ya Ubungo, na hata choo hawakujenga?
Kata mradi Upo chini ya 40% japokuwa Kalemani alikuw
Wewe sindio unaongoza Kwa kuweka video za miradi humu mpaka link za live au wewe mwenyewe upitiagi kablà ujatuma.Huo Ndio uwerevu ukigundua uongo unaukataa! Kumbuka msema kweli mpenzi wa Mungu alikuwa Muango! Miradi alikamilisha ni ile ya Chato tu!
Kwanini watu mnaendelea kujadili habari za mtu ambaye ni marehemu. Kwanini hamtaki kumuacha apumzike kwa amani? Miaka zaidi ya 4 imepita. Mnatakiwa kusahahu na muendelee na maisha. Life have changed don't live in the past. Ishi kama maisha ya sasa yalivyo. Utakufa kwa stress siku zi zako.Magufuli uyu ndio alizindua hospital ya uhuru
Magufuli uyu SI ndio aliyeleta kivuko Cha mv kazi
Hata reli iliisha wakati wake wa kipande Cha moro zaidi ilikuwa kwenye majaribio na baadhi ya vitu
Hospital hizi mnazotamba nazo ni kipindi chake na mama kaja kuongeza Kwa nafasi yake
Kila mtu atasimama na nafasi yake na kipaumbele chake
Sisi darasani tulikua watu 12 tu tangu form one na darasa ni moja, na darasa la mbele yetu walikuwa watu 8. Jifunze nini maana ya hili.Huyo Magu aliwadanganya sana nyie baadhi ya Watanzania ambao ni wajinga kama nyie
KAMA ANGEWEZA KUANZISHA DINI YAKE BASI LEO ANGEKUWA NA WAFUASI WENGI MATAHIRA KAMA NYIE NA MNGEMUITA MUNGU
Acha uwongo!Kasachstan mradi Upo chini ya 40% japokuwa Kalemani alikuwa anatupiga songs kila siku!
Nilikuwa sijui hili!Wakafanya makusanyo yote ya taasisi zote na local government yawe centralized, wakaitoa tarura ,ruwasa na malipo yote yakawa centralized ili wizi ufanyike vyema
Bro embu acha mihemkoMkuu miradi mingi inakamilika Sasa hivi sababu Samia ameamua kukamilisha ila magu alianzisha miradi mingi ili apige na ndio maana karibia miradi ya ujenzi ununuzi wa ndege vyote vilikuwa chini ya ofisi yake ili iwe rahisi kupiga.
Reli imeisha ila kwanini toka 2022 tulishindwa kuanza dalili ni kuwa alikuwa hajamlipa mkandarasi
Ikiwa kama miaka mitatu imekata miradi aliyoiacha msukuma bado aijaisha nadhani wenye akili timamu watanielewa miradi inahitaji muda hata yeye angekuwepo ingekamilika kulingana na muda husika wa miradi.
Watu wanaongea Kwa mihemko ila ground vitu vinajulikana mbonaAcha uwongo!
Mbona hao watangulizi wake hawakutuacha hata kwa 4%?
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1841633931545690420
Bro embu acha mihemko
Kama ingejengwa ingekua ni jointed rail na ya diesel locomotives kams Kenya.
View: https://youtu.be/CAe_1eN8VAM?si=4w5WYuAZZ-d2JFPZNa itambulike hata kikwete angekuwepo madarakani ingejengwa tu
Kwenye ufanisi tueleze barabara unayoijua weye aliyojenga magu akiwa raisi ambayo Iko katika standard za kimataifa Mimi nakupa ya kikwete iyovi- mafinga miaka zaid ya 10 Bado Haina mashimoKama ingejengwa ingekua ni jointed rail na ya diesel locomotives kams Kenya.
Maana mpango wa SGR ulikua wa East Africa na ilikua ijengwe kote kama iliyojengwa Kenya.
Ila Magufuli ameleta utofauti anafaa apongezwe.
Samia ni kama Kikwete huwa hawajui kitu kinaitwa ufanisi.
Ona hata viti vya EMU vilivyowekwa ushuzi mtupu.
Kikwete huyu huyu aliyewamilikisha stendi ya mabasi Ubungo kizazi cha nyoka na mafisafi?
View: https://youtu.be/CAe_1eN8VAM?si=4w5WYuAZZ-d2JFPZNa itambulike hata kikwete angekuwepo madarakani ingejengwa tu
Lete ushahidi wa hizi tuhuma.Hivi ilikuwaje unaingiziwa Hela labda ya kukamilisha mradi mwezi wa kwanza mnaanza ujenzi kabla hamjamaliza mwezi wa sita tarehe 30 fedha zote hasa toka serikali kuuu zilikuwa zinarudi na basic Tena ndo imeishia hapo. Kwani zile Hela zilikuwa zinaenda wapi, sio hizo pesa ambazo Sasa hivi majaliwa anatumbua watu kama Ile ya ubungo na mpimbwe hizo Hela zote ni kipindi Cha mwendazake ila ukiwaambia wafuasi wake kuwa bosi wao alikuwa fisadi ni vita