ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,459
- 89,882
Na Mimi nakuuliza swali,unataka tuanze na sekta gani?nakuuliza swali nioneshe investments za 50 trillion in just 3 yrs πππππ
kwamba tumekopa 50 trillion kwa ajili ya investmenta in just 3 good yrs yani over 20b usd alooo aiseeeππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
akikujibu naomba nitag pamoja na madeni hayo bado kuna tozo kila kona, sijui ReA kwenye mafuta na umeme, bado kuna ongezeko la kodi ya nyumba from 1000 to 1500 etc πππππ»ππ»ππ»Tumefanya investment gani mpaka Sasa zinazofika thamani ya trillion 50 Kwa hii miaka mitatu?
Huu ni utoto sasa. Unataka tuanze kujadiliana kitu kilekile tu bila hitimisho?investment gani ya hzo 50 trillion in just 3 good years ππππππ
na bado kuna tozo kila kona, sijui makato ya REA, makato ya majengo from 1000 to 1500, etc
anza sekta yoyote alaf nikuulize maswali πNa Mimi nakuuliza swali,unataka tuanze na sekta gani?
Investment haijafanyia as a single project,sema hapa mnataka tuanze sekta gani?Tumefanya investment gani mpaka Sasa zinazofika thamani ya trillion 50 Kwa hii miaka mitatu?
nimemaliza bro wacha tuendelee kushangilia ππππ»ππ»Huu ni utoto sasa. Unataka tuanze kujadiliana kitu kilekile tu bila hitimisho?
BOT wananunu kila mwaka 6t za dhahabu kwaajili ya national reserve. Bei ya gram moja ya dhahabu ni Tsh 239,966.76.
Niambie hiyo ni pesa ngapi?
ππππππππππππππππππππππππππππππππInvestment haijafanyia as a single project,sema hapa mnataka tuanze sekta gani?
Acha ujinga mzee.investment gani ya 50 trillion in just 3 yrs ?
wakat bado kuna tozo kila kona, sijui REA kwenyw mafuta na umeme bado kodi ya majengo from 1000 to 1500 etc
kaka tuendelee kushangilia tu ππππ»ππ»
Anza na kilimo ambayo unaipigia chapuoInvestment haijafanyia as a single project,sema hapa mnataka tuanze sekta gani?
Nadhani umeanza kuwa adui wetu. Umegeuka ugeukia upande wa wakenya. Nitakupiga sindano mpaka unyooke. Sipendi upumbavu kwenye battle mimi.nimemaliza bro wacha tuendelee kushangilia ππππ»ππ»
Unaelekezwa hutaki kuelewa, sasa unataka tukusidieje.ππππππππππππππππππππππππππππππππ
kaka upanuzi wa bandari ya tanga ulifanyila kipindi cha magufuli na bandari ya mtwara πππππHiyo kwa uchache tu.
- BRT Phase III and Phase IV, Phase V ipo njiani umetoa wapi pesa?
- Upanuzi wa bandari ya Tanga umetoa wapi pesa?
- Project ya Matank ya kuhifadhia mafuta kigamboni umetoa wewe pesa
- Mabwawa ya umwagiliaji nchi nzima umetoa wewe pesa
- DMDP Phase II umezitoa wewe pesa?
- Ujenzi unaoendelea Phase II ya Magufuli City umetoa wewe pesa.
- Ujenzi wa Kigongo Busisi umetoa wewe pesa
- Mradi wa Msongo wa kV 400
nenda kapitie na hapa ujionee
leta miradi ya over 20b in just 3 yrs hapa ππ alaf unioneshe na miradi yenyewe sasaHapo nimeorodhesha nini?
nani kanielewesha hvi nyinyi munadhani watu wajinga sana au??πππππUnaelekezwa hutaki kuelewa, sasa unataka tukusidieje.
STUPID
hapa hatuongelei uadui hapa tunaongea facts mzee mambo ya uadui sijui mwanaume au mwanamke hapa hayana nafasi ππππNadhani umeanza kuwa adui wetu. Umegeuka ugeukia upande wa wakenya. Nitakupiga sindano mpaka unyooke. Sipendi upumbavu kwenye battle mimi.
Nenda kajadiliane haya mambo yako ya kipumbavu kwenye majukwaa yanayohusika. Hapa tupo kwenye battle.
Ondoa upumbavu Tunapokuwa kwenye vita askari akigeuka anakula shaba chap.
Ndege kwa sasa zipo ngapi? Kama ndege hizo ndogo ndogo tu cost yake ni 1.8.kaka upanuzi wa bandari ya tanga ulifanyila kipindi cha magufuli na bandari ya mtwara πππππ
View: https://x.com/jamiiforums/status/1156885562789421059?s=46
kigongo busisi ilianza kipindi cha magu pia 50/50
ππππππππ
ππππππππWe jinga sana na nina wasiwasi kuwa haupo Dar,Uhasibu na Changβombe ziliachwa awamu ya tano
Tayari wewe ni adui yangu. I am here to protect national interest siyo upumbavu wako.hapa hatuongelei uadui hapa tunaongea facts mzee mambo ya uadui sijui mwanaume au mwanamke hapa hayana nafasi ππππ
leta hoja kwa dalili au tuendelee kushangili kama kawaida ππππ
Tunaanza na sekta ya Michezoanza sekta yoyote alaf nikuulize maswali π
Sekta gani?leta miradi ya over 20b in just 3 yrs hapa ππ alaf unioneshe na miradi yenyewe sasa