Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pole hiyo 250,000 daily earning kwangu yakuuuza pumba tu kabla ya final products Sasa kadiria kwa siku 180 kwa mwaka
 
No wonder you are poor. Ungejua tu financial literacy hata kidogo at least Ungekuwa mahaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

Kuuza kuku anybody can do, kuuza mayai anybody can do, kuuza mbuzi anybody can do.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Ndio maana nikikuambia huna maarifa ya maisha unakataa.
Twende taratibu,hizo saccos zako kwa mwezi zinakuingizia how much Kesh!?
 
Kumbe ulikuwa unaongelea revenue?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

You can have bigger revenue with smaller profit, here I’m talking about profit and remember my my initial investment is at a minimal risk of getting lost.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
tuzungumzie na yetu deni kutoka 56trillion mpaka 96 trillion in 3 good yrs πŸ˜‚πŸ˜‚ na hapo bado mikopo ya current haijwekwa

au haturusiwi kusema tunyamaze??
Mkuu unamaliza energy zako kwa huyo jamaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe ulikuwa unaongelea revenue?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

You can have bigger revenue with smaller profit, here I’m talking about profit and remember my my initial investment is at a minimal risk of getting lost.πŸ˜‚πŸ˜‚
Aya tuambie per month ni profit gani una make!?
 
No wonder you are poor. Ungejua tu financial literacy hata kidogo at least Ungekuwa mahaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

Kuuza kuku anybody can do, kuuza mayai anybody can do, kuuza mbuzi anybody can do.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Haha unadhani ni rahisi kihivyo jaribu uone
 
Ndio maana nikikuambia huna maarifa ya maisha unakataa.
Twende taratibu,hizo saccos zako kwa mwezi zinakuingizia how much Kesh!?
More than whatever you earn in a month, and remember the interest I get doesn’t need my presence and time. Yani pesa unanifanyia kazi, I don’t need to sweat or make my presence available ndio nipate pesa. Also remember there are no expensesπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haha unadhani ni rahisi kihivyo jaribu uone
Ngojea atutajie hiyo faida anayotengeneza kwa mwezi.
Shida jamaa hana maarifa ya maisha.
Anashindwa kuelewa katika huo huo uuzaji wa kuku kuna small scale,medium scale and large scale poetry.
Na kila moja ina namna yake ya kuifanya na ina kiwango chake cha faida.
Hapa ndipo utakuja gundua jamaa akili mgando.
 
Kaka we are discussing wewe taja kiasi hata kwa makadirio.
Do you know how much do I earn per month!?
Acha bangi na miraa, mention the exact amount.
 
I know you are earning less than 15k per month.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…