Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 ukijiona unaomba upewe ruhusa kazini, jua kuwa wewe si tajiri mzee ni mtumwa wa mtu, tafata pesa uachane nahayo maisha.
As long as pesa natengeneza kwa mwezi is more than your two year income mimi sina shida😂😂🤣🤣
 
Ukimpatia Teargas serious discussion anakimbia. Wamezoea kwenye mitandao yao kutukanana na kutishana ovyo.
Hawezi kugusa hii topic ya Assets mpaka kiyama. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hawa tuliwahi bishana kuhusu miradi ya umeme ya Kenya versus tanzania kwa kuoroshesha wakawa wanakimbilia data za mitandaoni bila uhalisia wa vilivyopo kwa ground, hawana lolote zaid ya kujishaua . Hata tukileta wakenya versus watanzania waliowekeza nje ya nchi zao wataleta issue za kcb equity ambazo Kuna wazungu kibao wamewekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…