shangilia sasa mbona umekimbia mbuzi wewe ππPiga tu kelele hapa na tunawarape tenaπππ
View: https://x.com/Cecafaonline/status/1847989149912936527
Tumia Azam Channel No 112.. ipo clear kuliko hii unaiangaliashangilia sasa mbona umekumbia mbuzi wewe ππ
View attachment 3130785
Atapotea mazima humu leo πππTeargas njoo hapa upost matokeo kunguni mweusi wewe πππ
midomo mirefu kama miguu ya wachimba kaburi
Kajificha sehemu fulani analia mpaka kesho kama juzi kati alivyofinywa na wakameruniππAtapotea mazima humu leo πππ
Nairobi ni mji hatari kuishi, mm nauogopa sn, kama hujaibiwa basi utaporomokewa na jengo au utauawa na bandits au political violence, mji wa hovyo sana.haya tayari maji na mafuta yanajitenga
View: https://www.instagram.com/reel/DBV7QxaKYcY/?igsh=bnBlYjJscXh6anNr
Ataacha kuulizia kwamba Tz ni bora kwenye mchezo upi. πππ hii ya leo itamuuma zaidi kwasababu ni finally.Kajificha sehemu fulani analia mpaka kesho kama alivyofinywa na wakameruniππ
Mkuu unapitwa huku πππππΎNairobi ni mji hatari kuishi, mm nauogopa sn, kama hujaibiwa basi utaporomokewa na jengo au utauawa na bandits au political violence, mji wa hovyo sana.
Alafu hao watu wenyewe walio road wengi wameparara mbayaa plus barabara za tope, Kenya ni mavi π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£tazameni mazingira ya barabara CBD ππ
View: https://x.com/mabonga_254/status/1847927211929563357?s=46
Walitaka kutuzoea wakidhani sisi ni size yao π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mkuu unapitwa huku πππππΎ
View: https://www.instagram.com/p/DBWTY1fItr9/?igsh=MXRqd3FlOXBic2hiOQ==.
Adi rahaaa, kuna msenge hatoingia humu wiki nzima π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mkuu unapitwa huku πππππΎ
View: https://www.instagram.com/p/DBWTY1fItr9/?igsh=MXRqd3FlOXBic2hiOQ==.
Wewe acha kubisha vitu usivyojua. Ushawahi kufika Dar, CBD specifically? FYI Port yetu inaanzia Posta hadi Kurasini.So Port pia utasema Iko CBD? Ni kama huelewi maana ya CBD wee kima.π€£π€£
Afrika bhn, mtu hapo ndiyo kajitutumua kweli kweli π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Niliacha kupost picha za Nairobi estates coz ya shughuli mingi za kikazi. Leo nimeleta picha za collection of different Nairobi estates located across different roads, e.g., Thika Superhighway, Outering Road, and Mombasa Road. Some of the estates captured here include Kasarani, Roysambu, Kariobangi, Donholm, Umoja, and Buruburu.
Kesho nitaleta picha za South B estate.
Dar slums itafika mahali Nairobi ipo in 2024 kitu 2060. At least 30 years from now.
View attachment 3130791View attachment 3130793View attachment 3130794View attachment 3130795View attachment 3130796View attachment 3130797View attachment 3130798View attachment 3130799View attachment 3130800View attachment 3130801View attachment 3130802View attachment 3130803View attachment 3130804View attachment 3130805View attachment 3130806View attachment 3130807View attachment 3130808View attachment 3130809View attachment 3130810View attachment 3130811View attachment 3130812View attachment 3130813View attachment 3130815View attachment 3130816
Hivi ule mpango uliozinduliwa wa ujenzi barabara karibu km 2100, kuna iliyokuwa inaanzia Handeni kwenda mpaka Singida nyingine ilianzia Arsha mpaka Dom, kuna iliyoanzia Ifakara kwenda kusini zilikuwa nyingi.Mbona hatusikii maendeleo yake.Kwahiyo connection ya ruvuma Zambia inatoka wapi mfano.
Sio Kila sehem inafaa kujengwa barabara lazima uangalie economic viability ,mfano hiyo border ya Malawi - songwe unazungumzia kujenga border post nyingine wakati hata Ile ya kasumulu Bado haijawa viable zaid ukijenga he huo upande wa pili watajenga ili iweze lipa au ni kujenga tu ili mradi kuwepo na barabara?
Inawezekana wewe unaangalia ili mradi kujenga tu bila kuangalia economic viability na ndio maana huwezi kuona umuhimu wa reli katika kukuza uchumi.
Kujenga kwa viapnde kunaendana na budget na matarajio , huwezi kwenda kukopa USD 10bil Leo eti unafanya maboresho ya barabara ambazo kwa Sasa hata ukiziangalia hakuna economic viability.
Yaan unataka Leo tukope letsay USD 1.bil kujenga barabara ya mbeya - tabora - mwanza ambayo kwa wastan hakuna viable economic activity ya kuweza kurejesha madeni na tuache kujenga reli kwenda kigoma na Burundi na rwanda ambako tayari Kuna mzigo wa nickel, cobalt na madini mzigo wa bandari ambayo inaweza kurejesha fedha zetu mapema?
Kujenga kwa vipande ni kwasababu Bado hatujawa na uwezo wa Kuanzisha ujenzi wa km hizo kwa pamoja na kwa sababu hakuna viability yoyote.